Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Hakuna cha ukimbiz wala nini, unazingua!Mie ni mkimbizi, halafu hiyo ndio tabia yangu yaani napenda sana kujikweza juu ya wasio nacho. Ni kama nawapa motivation though
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha ukimbiz wala nini, unazingua!Mie ni mkimbizi, halafu hiyo ndio tabia yangu yaani napenda sana kujikweza juu ya wasio nacho. Ni kama nawapa motivation though
Nimepiga sana story na Best nassoNakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.
Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.
Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,
Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.
Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
JDMie nakutana sana na mchekeshaji Mkwere ninajenga Kimara (nyumba ya kupangisha) jirani na kwake. Uwa tunapiga sana story . Prof. J pia mshikaji tunaongea nae, Afande Sele mwanangu mno na kuna msanii mmoja wa kike maarufu nilishapita nae kinyumba enzi zangu
Mkenya muuza rangi za magari?diamond platnumz maeno ya sinza vatcan..alipokua anataka kuwapangishia dancers wake..hiyo nyumba alokua anaitaka..ipo jirani na ninapoishi.. jamaa anaongea haraka haraka mno[emoji23][emoji23]
pia bwana Juma Mchopanga (JAY MOE) ni jirani yangu..huwa tunapiga sana stori kijiweni kwa mkenya[emoji28][emoji28]
lil wayne nilikuatana naye new orleans, louisiana pale kuna uwanja fulani wa mecedes benz superdome ,,ila nilimpa hai tuu akaitikia na kisauti chake cha kitejaNakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.
Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.
Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,
Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.
Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
Cyril tozi tozi mda woteAfu Cyril Kamikaze na Mabeste nashindwaga sana kuwatofautisha [emoji849][emoji849]
Afu Cyril Kamikaze na Mabeste nashindwaga sana kuwatofautisha 🙄🙄
Ndio yule rafiki ake Jux si ndio?Cyril tozi tozi mda wote
Songea, na jina lake halisi ni frank ngimbuzi.Hii shule iko wapi? [emoji848][emoji848]
Wa juu ni Cyril na wa chini ni Mabeste si ndio?
sahihiWa juu ni Cyril na wa chini ni Mabeste si ndio?
Huyu ndio nani 🤔🤔 Kiongozi wa Wenge Musica BCBG
Cyril ..singida boyAfu Cyril Kamikaze na Mabeste nashindwaga sana kuwatofautisha [emoji849][emoji849]
Wewe jau sana yaani P kama lunya embu ficha ujinga wakoHuyo mwamba nakubali sana flow zake za kimnato kama akina lunya, salmin swagg na con boy
Afu wewe ngoja nicheke[emoji28][emoji23][emoji23]Mboso ..tangu hajawa star Hadi sasa tukikutana maeneo ya kwao akija kutembea na Mimi nikiwa maeneo hayo salamu za hapa na pale..yupo poa Sana
Godzila (r.i.p)..enzi hizo naishi mbezibeach tulikuwa tunakutana mida ya jioni pale belinda kwa story za hapa na pale na marafiki zangu
Dullyskyes..kwa mara ya Kwanza tulikutana yahya boutique kino..mazoea yakaanzia hapo jamaa yupo straight hapindishi ukizingua
Nitarudi