Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 749
- 1,310
Kuna vitu viwili vimempeleka haraka zillaKuna kipindi ni kama alitaka kuchizi kidg..naskia aliachwa na demu wake sijui..bas akawa anaropokwa maneno ya ajabu ajabu...ila mie naamni ni madawa ya kulevya...jaman kama kipaji jamaa alikua nacho
First to reply zinawaponza.
Mbona heading ipo so clear?
Siku ingine ukiamka fungua macho vizuri at least piga maswali akili ichangamke then shika simu.
Ulikurupuka. Hata kunitukana it won't affect me.
Sawa, sasa nimekuelewa na nakupa ruksa ya kula panya wako bila kujificha.
Duuuuu!!! Mtoto Doreen naye nasikia amechangia maana alimkolesha mchizi baadae akamwaga!!!!
Wengine mchelewa kuletewa hayo maumivu......poleni sanaAhsante. Asikwambie mtu. Nimekua nikilia kila siku toka mama ameondoka. Nimejitahdi kua mwanaume lakini maumivu yake hayavumiliki.
Msiba usikie kwa jirani.
Kukolesha ndo niniDuuuuu!!! Mtoto Doreen naye nasikia amechangia maana alimkolesha mchizi baadae akamwaga!!!!
Watu waushuwani nyie kiswahili kinawapiga chenga kweli' koleza=mnogesha.mkuu
Hivi unaweza kulinganisha population ya kipindi kile na ya sasa hvi?!!...au unatumia vigezo vipi kusema kuwa makaburi yameongezeka kipindi hikiNazidi kuikumbuka Tanzania ya Nyerere ambapo makabuli yalikuwa machache yani tofauti kabisa na sasa ambapo kila kona kuna makabuli,pia ilikuwa sio kawaida kuona kijana mdogo amefaliki kwa magonjwa tulizoea kuona sisi vijana tukizika wazee ila sasa baada ya miaka mingi kibao kimenigeukia tena yani wazee ndio tunazika vijana sasa
Apumzike kwa amani,wazazi wake(kama wapo) mungu awape wepesi katika wakati huu maana uchungu wa kuzika mtoto naujua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kulinganisha population ya kipindi kile na ya sasa hvi?!!...au unatumia vigezo vipi kusema kuwa makaburi yameongezeka kipindi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu waushuwani nyie kiswahili kinawapiga chenga kweli' koleza=mnogesha.mkuu