TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Kuna kipindi ni kama alitaka kuchizi kidg..naskia aliachwa na demu wake sijui..bas akawa anaropokwa maneno ya ajabu ajabu...ila mie naamni ni madawa ya kulevya...jaman kama kipaji jamaa alikua nacho
Kuna vitu viwili vimempeleka haraka zilla

1. Kuachana na Doreen Andy wa clouds FM

2. Ujio wa billnass kwenye game

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana sikukutukana kwa sababu nilijua haikuathiri chochote Mkuu.

Wewe ukipewa taarifa za kukushtua sio ajabu ukauliza tena ulichoambiwa,hiyo ni kawaida kwa mtu mwenye moyo hai.

Mtu akipewa taarifa kwamba NYUMBA YAKO IMEBOMOKA KAMA KASHTUKA SANA ANAWEZA KUULIZA TENA "IMEBOMOKAA"???
Japo kuwa kaambiwa lakini anaweza kuuliza tena alichoambiwa.

Mkuu kama hukunielewa basi tufanye yameisha,swali langu lilikuwa lamshangao wa namna hiyo.
First to reply zinawaponza.

Mbona heading ipo so clear?

Siku ingine ukiamka fungua macho vizuri at least piga maswali akili ichangamke then shika simu.

Ulikurupuka. Hata kunitukana it won't affect me.
 
Zilla kuna kitu hakikuwa sawa kwake
Screenshot_2019-02-13-09-09-34-1.jpeg
Screenshot_2019-02-13-09-06-16-1.jpeg
Screenshot_2019-02-13-09-04-18-1.jpeg
Screenshot_2019-02-13-08-04-35-1.jpeg
Screenshot_2019-02-13-08-01-23-1.jpeg
Screenshot_2019-02-13-07-59-28-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhhhh kama umeelewa sawa mkuu,sikuuliza kwa nia mbaya ni mshangao tu ambao ni aghlabu kutokea katika maisha yetu.

Mkuu unanisakama sana na panya kwa nini?

Mkuu hata sili panya mimi japo natoksea huko kusini,sili na sijawahi kula chamaki nchanga.
Sawa, sasa nimekuelewa na nakupa ruksa ya kula panya wako bila kujificha.
 
Ahsante. Asikwambie mtu. Nimekua nikilia kila siku toka mama ameondoka. Nimejitahdi kua mwanaume lakini maumivu yake hayavumiliki.

Msiba usikie kwa jirani.
Wengine mchelewa kuletewa hayo maumivu......poleni sana

Nina 26 ila nimeishi na mama yangu miaka 13 that means sasa ni nusu ya maisha yangu nimeishi bila yeye

Haizoeleki hii hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazidi kuikumbuka Tanzania ya Nyerere ambapo makabuli yalikuwa machache yani tofauti kabisa na sasa ambapo kila kona kuna makabuli,pia ilikuwa sio kawaida kuona kijana mdogo amefaliki kwa magonjwa tulizoea kuona sisi vijana tukizika wazee ila sasa baada ya miaka mingi kibao kimenigeukia tena yani wazee ndio tunazika vijana sasa

Apumzike kwa amani,wazazi wake(kama wapo) mungu awape wepesi katika wakati huu maana uchungu wa kuzika mtoto naujua...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kulinganisha population ya kipindi kile na ya sasa hvi?!!...au unatumia vigezo vipi kusema kuwa makaburi yameongezeka kipindi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hata mimi nimemshangaa sana nikaona niwe kimya tuuu.

Enzi hizo kariakoo unatembea mikono unaimwaga ila saivi nafasi hamna kwa sababu watu wengi.

Alafu mtu daah anafananisha zamani na sasaivi
Hivi unaweza kulinganisha population ya kipindi kile na ya sasa hvi?!!...au unatumia vigezo vipi kusema kuwa makaburi yameongezeka kipindi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hua shida mtu kutumia umoja na wingi?
Umoja Wingi
Wimbo Nyimbo.
Wembe Nyembe
Ungo Nyungo.
 
Back
Top Bottom