TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Am very sorry for your loss.
 
Mungu hayuko hivyo,humchukua mtu pale tu anapomaliza jukumu au kusudi lake katika uwepo wake hapa duniani,hao wote uliowataja licha ya kusema na kuwahukumu kuwa wakosaji tambua kuwa mungu anawapenda na bado anawahitaji,usishangae ukawatangulia wewe,
Ningekuwa muumba bora ningemtanguliza yule Dada mpenda kukaa uchi sijui poshy kwini au wema lkn sina namna kila mtu kwa wakati wake,pumzika mahala ulipojiandalia wakati wa uhai wako Godzilla.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mir sisikiliz sana bongo flavor..ila kwa king ah acha kbs...alafu ana saui unique mnoo..nick kama yupo soft kidg.siijui rap ila king is the best...zilla kama hanaga shauo vile qnaimbaga fact tofauti na nick ana mbwembwe sana
Sasq niki wa pili si ni mshambs wa Arusha
 
R.I.P zilla
 


Jamaa alikua ana kipaji sna ..huu ni msiba mkubwa sana ...!
 
Wewe ni mwanangu kabisa yaani. Nimemaliza chuo 2007. Piga mahesabu
Kwaio baada ya kumaliza chuo kuanzia 2008-2013 ulikua husikilizi redio wala kuangalia TV za Tanzania? Au ulikua bado hujanunua TV na Redio?
 
Baba yake alifariki akiwa darasa la pili, ni mama yake tu ndo yupo hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu kabla ya siku 40 Za kifo chake huwa kuna alama anazifanya kwa watu waliomzunguka akisha fariki ndio unaunganisha dots.
Nimetoka kumzika mzee wangu majuzi tu. Siku mbili kabla hajafariki alikuwa ananiusia kuhusu jamaa zetu, jinsi ya kuishi na mama yetu mlezi aliyetuachia pia alikuwa ananikumbusha nisiache kumuombea kwa mwenyezi mungu siku zote. Then nilipokuwa naondoka akaniambia kuanzia leo itabidi ugangamale siku si nyingi utakua baba wa familia hivyo usikubali ndugu wakuyumbishe.

Kesho yake napigiwa simu mzee hali mbaya ndo yupo kwenye sakaratul maut, sikuweza kuongea nae tena ila nilijiona mjinga sana kutong'amua màana ya mazungumzo yetu ya jana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenichukua muda kuamini, Zilla amelala mapema sana.
Wale wapenda hiphop ndio na machozi yanatutoka kabisa moyoni.
Poleni kwa wote tulioguswa na msiba.

'salasala in the house.... welcome in my hood men' In KingZilla voice [emoji146]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miongoni mwa watu walio niinspire kufanya freestyle alikuwa huyu jamaa.....([emoji146] zilla)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…