dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Ukipata msiba Wa namna hiyo utajua nini maana ya kifo/kufiwa hasa mtu Wa karibuDuh!
King Zilla.
Anyway, we all doomed to die.
Mimi nilijua kifo kipo baada ya kufiwa na mama yangu late 2018.
Sijawahi kuona maumivu makali namna ile.
Poleni ndugu wa King Zilla.
Sent using Jamii Forums mobile app