TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Nazidi kuikumbuka Tanzania ya Nyerere ambapo makabuli yalikuwa machache yani tofauti kabisa na sasa ambapo kila kona kuna makabuli,pia ilikuwa sio kawaida kuona kijana mdogo amefaliki kwa magonjwa tulizoea kuona sisi vijana tukizika wazee ila sasa baada ya miaka mingi kibao kimenigeukia tena yani wazee ndio tunazika vijana sasa

Apumzike kwa amani,wazazi wake(kama wapo) mungu awape wepesi katika wakati huu maana uchungu wa kuzika mtoto naujua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all, njia yetu ni moja na mwenzetu amefanya kutangulia tu. Rest Easy Champ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…