Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

Aache kumchora babake aliyemkojoa shobo nyingine ni too much ptuu..
 
Hii komenti Kama haihusiania na hapa eti.. afu pia inaonekana una hasira na waliobaki .. uwepo wao umetengeneza chuki moyoni kwanini wabaki magu aende..
Nb. Pole kwa msiba
 
Elimu ni kitu muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…