Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha wivu bana wote humu tunajua wewe ni mfanyakazi wa mama dangote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usitumie nguvu nyingi kijana..kuna wakati mwingine watu huwa wanaongea utani tu..Na harmonize anaweza kuwa no 1 in the coming years

Ohoo Diamond,Diamond
 
Mpoki kapanda jukwaani.

Mpoki siyo mchekeshaji, kuchekesha kwake ni kutania tania watu tu mwanzo mpaka mwisho.

Nadhani anatakiwa kupata producer anayeweza kumpa points za kuchekesha huku akieleimisha.

Kiukweli mpoki ni wale watu wanaochekesha kupitia ukweli wa tukio
Kwa mfano ananiongelea mm n mfupi basi atanisema kwa ufupi wangu.

NB
ukweli unauma...
 
Huyu mtu ambaye yupo upande wa light anazingua kishenziiiiiiiiiii...........
 
Dah mkuu punguza unazi umezidi sana...why roho ikiuma kuona mwingine anasifiwa kuwa yuko juu unataka kila siku diamond wakati mkihojiwa mnajinasibu kuwa mnataka mziki ufike mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki na Diamond wako but Harmonize ndiye msanii wetu Number Moja Tanzania...Konde Boy For Everybody
 
Nakubali,Ukweli ndio huo.
 
Kiukweli mpoki ni wale watu wanaochekesha kupitia ukweli wa tukio
Kwa mfano ananiongelea mm n mfupi basi atanisema kwa ufupi wangu.

NB
ukweli unauma...

Kama ukiweza kufatilia wachekeshaji wa nje, fanya hivyo uone tofauti.

Unapochekesha, hakikisha ndani ya baadhi ya vichekesho vyako ufikishe ujumbe wenye funzo. Siyo muda wote ni kuwasema watu.
 
Kama ukiweza kufatilia wachekeshaji wa nje, fanya hivyo uone tofauti.

Unapochekesha, hakikisha ndani ya baadhi ya vichekesho vyako ufikishe ujumbe wenye funzo. Siyo muda wote ni kuwasema watu.
Hahahahahahahahah Jamaa uchekeshaji wake ni lazima amseme mtu ndio watu wacheke,Tofauti na hapo hana uwezo wa kuchekesha watu.
 
Taji Liundi haja iheshimu show naona kama kavaa kihuni.Gadna kavaa simple tu kapendeza,Mzazi kavaa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…