Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha wivu bana wote humu tunajua wewe ni mfanyakazi wa mama dangoteUtakuaje no 1 ikawa huna mashabiki wengi mfano mzuri tukio lake hili ni kubwa halijatred kabisa limekosa Kiki, utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina viewers kubwa Kama nyimbo diamond?utakuaje no 1 ikiwa huna show nyingi na zenye ukubwa kuzidi diamond? utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina manunuzi Kama ya nyimbo za diamond?utakuaje no 1 ikiwa ufanyi vizuri international zaidi ya diamond?
Sent using Jamii Forums mobile app