Kaharibu kutukana.... sasa nani mbwa hapo ukumbini... ujuaji ukizidi mwisho wake unaharibu...
Acha kujifaraji mkuu.Mkuu siyo kila pesa unayoiona kubwa, ni kubwa sana kwa kila mtu
Kuna nyimbo kaimba kwa featuring na wasanii wengine ambao ni wabongo, eg Jide na Q Chillah.
Swali langu, kwa nini hawapo kuimba naye?
Mkuu hivi unamjua Sallam anavyopenda hela wewe ?Acha kujifaraji mkuu.
Sawa sawaNimekujibu hivyo ili kuepusha malumbano mkuu..
Let me enjoy AfroEast.. Mambo ya Milion 500 ni topic ya siku nyingine..
Mbona Jide alikuwepo kaimba nae stageni wimbo unaitwa wife?
Kuna hii ngoma alioomba Mhe JK ipigwe tena nayo ni [emoji91] na hii malaika pia ni komesha.Hahahah chama gani? Hahaha kimekupoteza kivipi tena?
Yaa naangalia
Nyimbo bora kwangu hadi sasa ni
Wa wife na lady jaydeee na Mama
Amejitahidi sana
Mkuu iyo pesa walitamka tu, harmo hata kama angekuwa nayo asingeweza kuitoa kuwapa.Mkuu hivi unamjua Sallam anavyopenda hela wewe ?
Qchief yupo ila sijui kwa nini hajapanda.
Ila nahisi kama wanakimbizana na muda,ndio maana wanazikatakata nyimbo.
Shishi mvuragizi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini huyu mwanamke mshipa wa aibu umekatika kabisa anaconfidence ya hatari [emoji91][emoji91][emoji91]Shishi "......more more........" nimemwelewa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mkwaju acha kabisa.Hii Malaika nimeielewa.
Jidanganye Mkuu. Huwajui wale jamaa kwenye mambo ye pesa hawana mzaha.Mkuu iyo pesa walitamka tu, harmo hata kama angekuwa nayo asingeweza kuitoa kuwapa.
Kwahiyo hela hizo ni propaganda hajawapa hicho kiasi?Mkuu iyo pesa walitamka tu, harmo hata kama angekuwa nayo asingeweza kuitoa kuwapa.
Hakuna deni tena hapo kashawalipa hela zao WCB zote.Kajibu swali la Diva vizuri kuhusu kulipa deni, nadhani deni halijaisha lote.
Umesema ukweli kabisa.Jidanganye Mkuu. Huwajui wale jamaa kwenye mambo ye pesa hawana mzaha.
Ambaye hajalipa ni Mavoko ndio maana mpaka YouTube channel kanyang'anywa.
Harmonize kaachiwa kila kitu unadhani ni BURE ?
Kulipa kalipa, whether katoa pesa yake au mtu mwingine
Hakuna deni tena hapo kashawalipa hela zao WCB zote.