Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mimi nilikua na switch channel akianza kuongea. Mara ajoke kuhusu Corona mara matako.. Jamani who does that????
Sent from my iPhone using JamiiForums
Salamu zangu kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikua na switch channel akianza kuongea. Mara ajoke kuhusu Corona mara matako.. Jamani who does that????
Sent from my iPhone using JamiiForums
Waletaji ndio hakunaIi event sijui kwa nini aija pata kuzungumziwa sana JF na mtandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijalikwa........... Upande wa production hasa light wanazingua,huo ndio ukweli ila show nzuri.Ungeenda ukumbini.... [emoji6]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kajitahidi.Hayawi sasa yamekuwa.. Yule msanii Mwenye Mwili kama Pipaa.. Anayejiita Jeshi, ila watanzania wakasema hapana, wewe ni Tembooo.. hatimae kesho atazindua rasmi Album yake ndani ya viwanja vya mlimani City..
Mliopata mwaliko msisite kutupa updates iyo kesho...
Kabisa kwa level yake kajitahidi mno,hii show si ndogo inaruka ETV kupitia DSTV hapa nchi zaidi ya 10 wanatizama,Youtube zaidi 15K streaming,ndio maana nasema production hovyo,watu wa Light wanazingua.Yeah kafanya mapinduzi kwakweli.....
Sio peke yako.Naona kama pumzi inaanza kukata, au nyimbo sizielewi.
Maana tempo kama inashuka kiasi.
Ungeenda ukumbini.... [emoji6]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio peke yako.
Okay, ila mpaka sasa bado naona hajaniangusha.
Nasubiri kusikia nyimbo kama Kwangaru, Matatizo na Aiyola.
Mbona anaziimba ktk show zake anazofanya.
Hizo Nyimbo hazipo kwenye album.Okay, ila mpaka sasa bado naona hajaniangusha.
Nasubiri kusikia nyimbo kama Kwangaru, Matatizo na Aiyola.
AiseeMbona Hance Mtanashati nimemuona?!
Yes anazitumia mara kibao tu ila leo ni uzinduzi wa Album ambayo hizo nyimbo za aiyola na kwangawaru hazipo kwenye orodha.Ooh, nilisikia interview yake akisema amemaliza deni na tayari anaruhusiwa kuzitumia.
Uyo anaeweka wapakue bure, ndo mzalendo haswa[emoji849]Njia pekee ya kumsapoti msanii ni kununua kazi zake kwenye platforms mbalimbali zinazouza mziki na kuhudhuria show zake.
Tatizo sisi wabongo kazi za wasanii hatununui tunapenda vya bure,tunasubiria djmwanga,kidebwoy aweke sisi tupakue bire.
Hii album unaweza ukakuta kuna mpuuzi mmoja anainunua online alafu anaiweka kwenye account yake Youtube watu wanaipakua free.
Yes anazitumia mara kibao tu ila leo ni uzinduzi wa Album ambayo hizo nyimbo za aiyola na kwangawaru hazipo kwenye orodha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo Nyimbo hazipo kwenye album.
Nyimbo karibia zote mpya
Wasanii wa Tanzania 99% ni vinga'ang'a a.k.a ving'asti. Nyumba gani hizo alizonazo huyu king'ang'a wa Sarah. Unazijua million 500 wewe?Ashawalipa bana.....
Si ndio alisema ameuza mpaka nyumba zake ili alipe deni. Ashamalizana na WCB