Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU umoja ni nguvu

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow...........Jah iz really
 
Hiyo ni kwa wambea kama wew ndio wanateseka .sasa mtu yy kafungo ndoa ww inakuuma nn?
 
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU umoja ni nguvu

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow...........Jah iz really
Yule bibi miss wa zamani kamuacha??
 
We falla nini!
Aombe radhi ameoa mke wa mtu?
Wasanii wana msaada gani?
Au mmekosa umbeA?
 
We falla nini!
Aombe radhi ameoa mke wa mtu?
Wasanii wana msaada gani?
Au mmekosa umbeA?
We JAMAA ni mpuuzi ETI HIVI UNAJIELEwA kweli WEWE SI ni juzi TU hapa ALIKUA anatafuta huruma nakutupigia magoti tumchangie PESA amlipe konde ikabidi tumnange konde MPAKA akasamehe.

nakuuliza WEWE kimomo ulitoa hata mia? Tuanzie hapo kwanza msanii kama BILNASS alitoa LAKI MOJA akapost IG we unakurupuka una dai wana msaada GANI. Unachekesha na kusikitisha

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow......... Jah iz really
 
Pongezi kwake, kwa kuweza kupata mke nje ya nchi; sisi wengine ambao tumeshindwa kuvuka mipaka, tupambanae na waliopo.
 
Mh! Mbona hizi taarifa kama za muda sana
NDOA imefungwa hata wiki mbili hazijaisha

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yoow............... Jah iz really
Hii haina umuhimu Alex. Unafeli.
Bro nikwambie KITU ukiona WATU hawana umuhimu na WEWE basi usiwaombee msaada ishi kama WEWE. Umefikiria KULE Burundi wametuonaje WATZ? Hawawezi HISI pengine IBRA tume mtenga kaka. Ni juzi jux katoka kuoa uliona sapoti kutoka kwa wasanii? Sisi kama WATU WAZIMA inabidi tujitahidi kunyesha mshikamano taifa LETU Lina hitaji WATU SIO MTU hio picha usichukulie POA hakika na kwambia Kuna Leo na KESHO mkuu mambo ya kujitengatenga SIO.

Kama ukweni NDO wamesimamia harusi inamanisha IBRA hapendwi na WATZ tunamtenga HIYO NDO picha kaka maisha hayaendi hivo. Usela KWENYE mambo kama hayo napinga JAPO NAMI msela picha mbaya SANA kaka shitua wana angepata ajali angezikwa na warundi? KUWA uyaone mkuu

Kwishaaaaaa

Bro Alex on la beats yoow......... Jah iz really
 
Ulitaka aje kukuona wewe

Sema watoto wa kiume wanazidi kupoteza uelekeo aiseeeh
Bro juzi TU hapa kapata TATIZO MBONA HUKU msimamia WEWE PEKE yenu mlitujulisha WATZ. Kulikua Kuna haja GANI ya KUTO shitua hata wana wawili IL mradi uoneshe Kuna WATZ nyuma picha inayo KUJA NJE ya taifa ni ipi.

Na akili ZAKO timamu WEWE utenda kuoa bila kumshtua kaka AKO unafikiri atakuonaje atajihisije JUU Yako. Punguzeni usela Kuna Leo na KESHO Kuna msanii mkewe aliugua ikabidi awstue wana. WATU wakafaiti wife akapona JAPO akizingua JE NAYE yakimpata? HUO SI usela ni ujinga MBONA jux akupiga KIMYA mkuu haya ni maisha kula na WATU hata kidogo. Kua uyaone SI magorofa DOGO

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow ................. Jah is really
 
Kaka upo powa adimu sana nafurahi kukuona hapa.
Kaka hawa masela WA SIKU HIZI miyeyusho SANA MTU anani tukana NME MULIZA kama hauoni umuhimu wetu MBONA juzi kataitiwa amlipe psa za konde akaja kwa WATZ NDUGU zake na tukachanga na kumsema harmonize mitandaoni HADI akaona aibu akamsaga DOGO MBONA akupiga KIMYA akafait mwenyew?

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow.......... Jah iz really
 
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU umoja ni nguvu

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow...........Jah iz really
Mwanaume gani uko hivyo? Hizo ni tabia za wanawake na mashoga!!!
 
Back
Top Bottom