Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake

Mleta mada atakuwa ngalawa yenye injini nyuma
Kaka HIVI huwezi changia mada bila kutumia lugha ya MATUSI ulizaliwa kwenye choo cha soko ETI mkuu.🙏🙏🙏🙏 Samahani kama NME kukera. Kaka SHIDA YANGU Mimi nikua SI ni WATz umoja na mshikamano NDO ngao yetu mambo ya KWENDA kuoa MmOJA inaleta picha mbaya . Wamemtenga au. Pilz SI ni WATU WAZIMA kaka fikiri ki utu uzima kaka au we ni mtoto WA EF mbili

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow........... Jah iz really
 
Mwanaume unaonaje wivu mwanamke kuolewa?bila shaka wewe una dalili za buza mabegani
 
Vitoto vya buku mbili hivi kaka, acha vifurahie ujana wao.

Haya mambo nakumbuka yalifanywa sana kipindi vijana wadogo wakimiliki simu, huko mwisho wa text lazima watie mbwembwe kama hizo.
Nashukuru kaka Mimi SI mtoto WA efu mbili kaka naweza kua kaka Yako mkuu feel sorry kama NME bugi .

Pili ukiona HAPO MWISHO naandika hivo SI urembo SI ushambaa waswahili wansema chezea MSHAHARA SIO KAZI mkuu HIYO ni KAZI YANGU na WATU WA kwanza kunisapoti ni NYIE.hivo rekebisha kauli SIO urembo hio ni KAZI

Crdb bank that listen. Vodacom KAZI ni kwako. Inamanisha na Hawa ni watoto WA EF mbili umenisikitisha mkuu ni jinsi GANI una kalili maisha USIFANYE hivo mkuu feel SORY kama NMEKOSEA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yoow..............Jah iz really
 
Ushawahi kuona wapi hao Crdb na Vodacom unaowatolea mfano wana uandishi mbovu namna hiyo kwenye page zao??

Hatujuani kazi zetu hivyo unachoandika ndivyo utakavyotafsiriwa.

Na uwe na nidhamu kijana, floor ya 3 hujafika wewe.
 
Ona SASA kumbe naweza hata kukupiga makofi unazungumzia floor ya tatu mkuu UKO siliasi kweli unajiita MWANAUME KISA UPO floor ya tatu mi nilizani UPO floor ya tano UKO kaka huko long time kitambo.

KUHUS uandishi usiwaige wale wazee wetu kaka MTU aliekaa kisasa anajiongeza. KIPIND tuko shule Miaka HIYO ILIKUA ukimuona mpiga kengele anaenda kupiga kengele, unacheki SAA unajiongeza kifuatacho kama ni mapumziko unabeba chako unasepa kengele inakukutia MBELE mkuu

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yooow............. Jah iz really
 
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU umoja ni nguvu

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow...........Jah iz really
Ulitaka akuoe wewe, we itakuwa ndio mchawi wake kwanini umfuatilie
 
Ona SASA kumbe naweza hata kukupiga makofi unazungumzia floor ya tatu mkuu UKO siliasi kweli unajiita MWANAUME KISA UPO floor ya tatu mi nilizani UPO floor ya tano UKO kaka huko long time kitambo.

KUHUS uandishi usiwaige wale wazee wetu kaka MTU aliekaa kisasa anajiongeza. KIPIND tuko shule Miaka HIYO ILIKUA ukimuona mpiga kengele anaenda kupiga kengele, unacheki SAA unajiongeza kifuatacho kama ni mapumziko unabeba chako unasepa kengele inakukutia MBELE mkuu

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yooow............. Jah iz really
Kijana kua na adabu aloo, hiyo kuita "kaka" kila post ni wazi wewe ni kijana mdogo na hiyo "kaka" umeizoea kwasababu ya umri wako.

Makinika, sawa kijana.
 
Mmmh imenifikirisha SANA MTU kukuita kaka maana yake anakuzidi UMRI? we JAMAA we MBONA NMEANZA kuogopa. Hayo mambo town MBONA KAWAIDA huwezi ita MTU DOGO Kam kweli una akili za kimjini. Tunatumia neno kaka hata kwa WATU tunaowazidi. Una kichwa kigumu cha kuelewa mambo.
 
Attachments

  • Screenshot_20250725-223337.png
    Screenshot_20250725-223337.png
    434.4 KB · Views: 22
Mbona mmepainic
Nani Mimi au HUYO JAMAA. Amenishangaza ETI kumuita kaka tayari kapitisha mi ni MDOGO. Sija MULIZA hata ana ishi wapi HUYU ILA HIZI tabia ni za wale wanao jisaidia kichakani wanamaliza wana pangusa chini. Kushenyeta JAMAA ni mporimpori.
 
Mmmh imenifikirisha SANA MTU kukuita kaka maana yake anakuzidi UMRI? we JAMAA we MBONA NMEANZA kuogopa. Hayo mambo town MBONA KAWAIDA huwezi ita MTU DOGO Kam kweli una akili za kimjini. Tunatumia neno kaka hata kwa WATU tunaowazidi. Una kichwa kigumu cha kuelewa mambo.
Kijana, haina umjini wala ushamba.

Unachokiandika hapo ndicho kinakutafsiri wewe ni wa namna gani.
Nyuzi zako, uandishi wako nk ni wazi sijakusea kukupachika jina "kitoto cha 2000".
 
Nani Mimi au HUYO JAMAA. Amenishangaza ETI kumuita kaka tayari kapitisha mi ni MDOGO. Sija MULIZA hata ana ishi wapi HUYU ILA HIZI tabia ni za wale wanao jisaidia kichakani wanamaliza wana pangusa chini. Kushenyeta JAMAA ni mporimpori.
Anamaanisha wewe umepanic kwa hiyo habari ya Ibra uliyoileta.

Kijana ulikimbia umande eeh??
 
Back
Top Bottom