Mama YANGU ameingiaje hapa mkuu. Kwa Nini usin face Mimi mkuu. Nmekusamehe MATUSI YAPO kibao ya kumtusi mama Yako TENA machafu huko alko ANAWEZA jiuuma kwa MATUSI Tayo poromosha. ILA SIWEZI mfanyie hivo naelewa karma, kumtukan mzazi WA MTU ni JAMBO jepesi SANA lakini huwa aliendi Bure mkuu be care nakutadhahalisha. Feel SORY kama NMEKUKOSEAAmuoe yeye na Mama yake ndivyo alivyotaka
Kaka Mimi ni MTANZANIA halisi Nina haki ya kumchana mtz mwenzangu akikosea maana sitaki kua kama wale wanasubiri mambo yaende kombi waanze kumteta.Unajipa umuhimu usio nao katika maisha ya watu ambao inaonekana wazi hawakuthamini hivyo.
Kichaa pekee NDO hushika viboko na kukimbiza WATU sijasema we ni taira mkuu. ILA kwa KUWA umejipambanua Haina noma SASA We mjinga nisikilize , unawafahamu watoto WA mtaani? Unafahamu CHANZO CHA WAO KUWA HAPO? Akili kama ZAKO. SINA SHIDA na IBRA na SHIDA na viumbe vijavyo vinapotia wakati NGUMU kutokana na akili kama ZAKO.Ungekuwa karibu ningekucharaza viboko mwanaume unaletaje nyuzi kama hizi
Unampangiaje mwanaume mwenzio cha kufanya?? au we ni Ex wake ulitaka akuoe wewe?Kichaa pekee NDO hushika viboko na kukimbiza WATU sijasema we ni taira mkuu. ILA kwa KUWA umejipambanua Haina noma SASA We mjinga nisikilize , unawafahamu watoto WA mtaani? Unafahamu CHANZO CHA WAO KUWA HAPO? Akili kama ZAKO. SINA SHIDA na IBRA na SHIDA na viumbe vijavyo vinapotia wakati NGUMU kutokana na akili kama ZAKO.
Ukipita mtaani wakikuomba HELA unanunua kumbe mawazo yenu mitandaoni NDO CHANZO CHA WAO KUWA pale
Kwishaaaaa
Bro Alex on la beats yoow......... Jah iz really
Kama ni maisha ya WATU MBONA alivopata CHANGAMOTO alitufata sisi kwa Nini asinge jipambania mwenyewe? JE nasi tunge mujibu KUWA hayatuusu huwa hatuingili mambo ya WATU angejisikiaje. Ulitoa hata mia mkuu au ulitoa msaada GANI ?Unajipa umuhimu usio nao katika maisha ya watu ambao inaonekana wazi hawakuthamini hivyo.
Kumsaidoa mtu hakukupi haki ya kumuingilia kwenye ndoa yake.Kaka Mimi ni MTANZANIA halisi Nina haki ya kumchana mtz mwenzangu akikosea maana sitaki kua kama wale wanasubiri mambo yaende kombi waanze kumteta.
IBRA alipata mtihani juzi TU nguvu ya umma ikamsaidia TENA YEYE mwenyew NDO aliotuambia ikafika MWISHO anahitaji huruma yetu. Tukajigawa wenye hele wakatoa wasio kua nacho wakamface konde kuchana amteme DOGO. Inshu ikaisha JAMAA akasanda ILA Kuna wajinga WALIDAI DOGO amlipe bilioni moja,SI tukagoma na DOGO akashinda. MBONA hayo hamsemi?
Kwishaaaa
Bro Alex on la beats yooow.....Jah iz reaally
Hujalazimishwa kusaidia na kusaidia hakukupi haki ya kuingilia faragha ya maisha ya mtu.Kama ni maisha ya WATU MBONA alivopata CHANGAMOTO alitufata sisi kwa Nini asinge jipambania mwenyewe? JE nasi tunge mujibu KUWA hayatuusu huwa hatuingili mambo ya WATU angejisikiaje. Ulitoa hata mia mkuu au ulitoa msaada GANI ?
NIKUULIZE swali MBONA KWENYE misiba hamziki PEKE yenu? Kama HAMNA haja ya kuwajuza watu
Kwishaaaaaaaa
Bro Alex on la beats yooow.......... Jah iz really
Kijana kuelimishwa hutaki umekaza fuvu tu, kamaanisha wewe na hao wasanii na watu mbalimbali.Unamsemea we kama nani KWAKE? Ye hawezi fafanua MPAKA WEWE umfafanulie? Au NDO husband WAKO mkuu hahahahah jokes mkuu chukuliwa POA ILA uki maind shega TU.
Hiiiii dunia hii BADO TU unatambia WATU elimu, ETI nilikimbia umande, soma VIZURI alicho andika mkuu, ametumia wingi SASA Mimi nipo PEKE YANGU huo wingi ALIMANISHA Mimi na nani, nikikuita akili SINA Hilo jina SI linakufaa mkuu hahahaaaa NASHUKUR kwa kun challenge broo 2ko pa1🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥
Kwishaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow............. Jah iz realy
Unamanisha IBRA kaona wabongo WOTE wanachonga. Una MAANA kwa SASA IBRA Hana RAFIKI hata MmOJA?Kumsaidoa mtu hakukupi haki ya kumuingilia kwenye ndoa yake.
Labda kawaona wabongo mnachonga sana kafunga ndoa kwa faragha zake.
Tatizo lako nini?
Wala, na Mimi sijakataa kuelinishwa SEMA elimu Yako imenifikirisha SANA. Kila nikiangalia avatar Yako nasindwa kuelewa nazungumza na MTU WA aina GANI.Kijana kuelimishwa hutaki umekaza fuvu tu, kamaanisha wewe na hao wasanii na watu mbalimbali.
Kukwambia umekimbia umande sio kulingia elimu ili ni kuonesha ni namna gani elimu ina umuhimu.
Kuna somo wanafundisha Ufahamu, hiyo mada ingekufaa sana kijana.
Kinacho nisikitisha ni ongezeko KUBWA la wavivu WA KUSOMA JAMBO na kulielewa. Hakuna MTU ambaye amemaindi IBRA kuoa ILA kinacho fikirisha ni kujitenga kufanya JAMBO mwenyewe bila hata MTU MmOJA kutoka KWENYE tasnia . Imeleta picha GANI KWENYE tasnia? Hujui CHOCHOTE KUHUSU kile wasanii wanapitia hivo ENDELEA kusubiri utangaziwe mwishoni UJE humu Kumkejeli nawakumbuka. And kama TAKUA humu I will deal with you perpendicularly ni Bora likitokea mnyamaze msifunge mdomo nawajua wabongo SANA. time will tell. Tuombee maisha marefu inshaallahHizi nyuzi nazikataza hizi hamsikii.
Ivi kweli kamanda unatukalisha chini ma comrade wenzio tujadiri ndoa ya Ibra, kweli kamanda ????
Kamanda utaanza lini kujilipia kodi kamanda ?
Labda kama ungeandika uzi wa kutuelemisha kuhusu ndoa na umuhimu wa kushirikisha ndugu jamaa na marafiki kisha kesi ya Ibra iwe ndo mfanoKinacho nisikitisha ni ongezeko KUBWA la wavivu WA KUSOMA JAMBO na kulielewa. Hakuna MTU ambaye amemaindi IBRA kuoa ILA kinacho fikirisha ni kujitenga kufanya JAMBO mwenyewe bila hata MTU MmOJA kutoka KWENYE tasnia . Imeleta picha GANI KWENYE tasnia? Hujui CHOCHOTE KUHUSU kile wasanii wanapitia hivo ENDELEA kusubiri utangaziwe mwishoni UJE humu Kumkejeli nawakumbuka. And kama TAKUA humu I will deal with you perpendicularly ni Bora likitokea mnyamaze msifunge mdomo nawajua wabongo SANA. time will tell. Tuombee maisha marefu inshaallah
Watoto hawawez ELEWA ILA WATU WAZIMA tumetaka kujua kwa Nini HUYU kijana kasimama PEKE yake JE. Aliomba kampani wakamkatalia?
Kwishaaaa
Bro Alex on la beats yoow.......Jah iz really
Huzungumzi, hapa unaandika.Wala, na Mimi sijakataa kuelinishwa SEMA elimu Yako imenifikirisha SANA. Kila nikiangalia avatar Yako nasindwa kuelewa nazungumza na MTU WA aina GANI.
Sasa mkuu feel SORY, ILA kilicho nishangaza badala nielimishwe nikatukanwa "how comes" hakuna JAMBO litazungumzwa hapa duniani na likawafurahisha WOTE never. Hivo ukijibu kistaarabu ukanyamaza MTU hupungukiwa damu au? Imenishangaza SANA atutaki mada zenye mtazamo tofauti kabisa HII ni hatari kwa taifa nakwambia ukiona MTU ANACHUKiA JAMBO bila kutoa fact basi jua HUYO ni juhaaaLabda kama ungeandika uzi wa kutuelemisha kuhusu ndoa na umuhimu wa kushirikisha ndugu jamaa na marafiki kisha kesi ya Ibra iwe ndo mfano
ETI,'AGENT MAKINI WA TAIFA" taifa la nani Hilo una MANIsha HII "TANZANIA" nani aliekupa hicho kibali mkuu? MBONA unaendelea kunipa mashaka we JAMAA. Ok USHAURI wangu kwakoHuzungumzi, hapa unaandika.
Avatar yangu achana nayo kijana.
Huyo ndo Vishu Mtata 007, agent makini kabisa wa taifa.
Sasa mkuu feel SORY, ILA kilicho nishangaza badala nielimishwe nikatukanwa "how comes" hakuna JAMBO litazungumzwa hapa duniani na likawafurahisha WOTE never. Hivo ukijibu kistaarabu ukanyamaza MTU hupungukiwa damu au? Imenishangaza SANA atutaki mada zenye mtazamo tofauti kabisa HII ni hatari kwa taifa nakwambia ukiona MTU ANACHUKiA JAMBO bila kutoa fact basi jua HUYO ni juhaaa
Kwishaaaaaaa
1- Nakunywa na siachiETI,'AGENT MAKINI WA TAIFA" taifa la nani Hilo una MANIsha HII "TANZANIA" nani aliekupa hicho kibali mkuu? MBONA unaendelea kunipa mashaka we JAMAA. Ok USHAURI wangu kwako
1. Kama unakunywa viroba au kilevi chochote bila kula mkuu ACHA unako elekea SI kuzuri mkuu.
2. Punguza ujuaji na kukurupuka soma JAMBO lielewe NDO JIBU, ni Bora unyamaze ILA SI KILA KITU unajibu mkuu
3.kwenye avatar Yako nimeona mdomoni umepaka vitu flani midomo ya MWANAUME lijari haiwi hivo , ACHA mara MOJA HIYO michezo unayo FANYA mkuu.
Feel sorry kama NMEKUKOSEA SI WOTE ni binadam tna MAPUNGUFU🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwishaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow........... Jah iz really