Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake

Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake


Tatizo Waafrika wengi mnapenda kucomplicate vitu vidogo.
 
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU umoja ni nguvu



Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow...........Jah iz really
Ndoa ya mtu nayo tunapaswa kujadili??? Watu hawataki uswahili wa kuchunguzana kuvaa, Mara chakula hakijaiva nk

Kafanya jambo jema. Ndoa ni ibada haitakiw mbwembwe
 
Kwani mke si wakakwe? Au atakuwa anaenda kulala kwa kila msanii mwenzie? Hataki umbea na shobo😂😂😂😂
 
Huu uzi kama umeletwa na mtoto wa Kike,basi ni jambo la kawaida,ila kama huu uzi umeletwa na mtoto wa Kiume,basi wazazi wake wana hasara kubwa sana,

Ajishikilie kidogo watamshikisha ukuta wenzake.
 
Anamaanisha wewe umepanic kwa hiyo habari ya Ibra uliyoileta.

Kijana ulikimbia umande eeh??
Unamsemea we kama nani KWAKE? Ye hawezi fafanua MPAKA WEWE umfafanulie? Au NDO husband WAKO mkuu hahahahah jokes mkuu chukuliwa POA ILA uki maind shega TU.

Hiiiii dunia hii BADO TU unatambia WATU elimu, ETI nilikimbia umande, soma VIZURI alicho andika mkuu, ametumia wingi SASA Mimi nipo PEKE YANGU huo wingi ALIMANISHA Mimi na nani, nikikuita akili SINA Hilo jina SI linakufaa mkuu hahahaaaa NASHUKUR kwa kun challenge broo 2ko pa1🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow............. Jah iz realy
 
Ukiendelea na hizi pigo utaaga JF very soon muulize haszu
Mkuu nashukuru kwa kunihabarisha. HIVI kinacho wakera HAPO ni nini? HAMNA tusi hayo MANENO HAPO chini BADO NINGE TUMIA kama user name ungeyaona TU. Hua sitaki niheshimiwe na huwa sitaki MTU aniamini SANA NDO MANA NATAKA WATU wanichukulie KAWAIDA. That is why I do it

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yooow.......... Jah iz really
 
Ndoa ni privacy ,inatakiwa hata jirani asijue ila mfunge ndoa kisheria ..Acheni kukuza mambo ,akiumwa ni ugonjwa ni wake mnataka kwenda kufanya sherehe za kuleta umuhimu kwenye maisha ya watu.
 
Mkuu nashukuru kwa kunihabarisha. HIVI kinacho wakera HAPO ni nini? HAMNA tusi hayo MANENO HAPO chini BADO NINGE TUMIA kama user name ungeyaona TU. Hua sitaki niheshimiwe na huwa sitaki MTU aniamini SANA NDO MANA NATAKA WATU wanichukulie KAWAIDA. That is why I do it

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yooow.......... Jah iz really
Utafirwa achana na hizo mambo kaangalie The Brutalist utanielewa
 
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU umoja ni nguvu



Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow...........Jah iz really
Ulitaka akuoe wewe?
 
Ndoa ya mtu nayo tunapaswa kujadili??? Watu hawataki uswahili wa kuchunguzana kuvaa, Mara chakula hakijaiva nk

Kafanya jambo jema. Ndoa ni ibada haitakiw mbwembwe
NGoja nikupe KISA. Mkoa Fulani Kuna jama ALIkuA na NDUGU zake, PESA ilikuwepo ya kutosha kwa bahati mbaya JAMAA aliaga dunia kwa ajali. Sasa kimbembe kikaja Kuna demu ALIDAI yule ALIKUA mume wake na watoto wamepata pamoja ILA KILA akimwambia awapeleke kuwatambulisha nyumbani JAMAA ANADAI atawapeleka TU.

NDUGU wakachomoa ILE ligi mwanzoni nilichulia POA. NDUGU walikazaa MPAKA MWISHO asee wale watoto ukiwaona saihivi huwezi amini kama baba YAO ALIKUA kota wadhahbu JAMAA kaacha mali nyingi watoto wake ni kama street children. Hamjajifunza TU


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yooow.............. Jah iz really
 
Ulitaka akuoe wewe?
No umesoma VIZURI HAPO JUU mkuu. Kuwapa WATU taarifa ni busara SANA unafahamu madhara ya baadae?

Unafahamu watoto WENGI street children ni mazalio ya upumbafu kama huu mkuu. Ulishawahi kuona KWENYE familia ya marehemu watoto wanakataliwa KUWA hawatambuliki?

Au hata misiba hamuudhuli NDO MANA mnaishi kisela watoto wanapitia kipindi kigumu kwa ujinga WA wazaz na washauri WAO. Kuna madogo MPAKA KESHO nikiwaangalia huwa nau in mia SANA. Baba YAO ALIKUA MTU WA madini PESA IPO ILA alivo aga mashindano, watoto wakakataliwa huu upuuzi NDO mnao uunga mkono alafu NYIE watoto wenu wanaishi VIZURI watoto WA mtaani mumewabatiza neno machokora, tujizi kumbe na NYIE mna michango wenu KWENYE Yale wanayo pitia. SAMAHAN kama Kuna kauli imekukela.



Kwishaaaaaaaaa
 
Huwa nawashangaa sana wanaume wanaoshikia bango jinsi wanaume wenzao wanavyooa.

Ni aina fulani ya uhanithi hii.
Nisha kujibu huko soma kwanza kama ni MTU MZIMA utaelewa.

Kwishaaaaa
 
Wanataka kupigwa mandole
We huwa unapigwa mandole umejuaje mkuu. Feel SORY ka NMEKUKOSEA mkuu one love tunapeana challenge TU✌️✌️✌️✌️✌️

Umeonesh kukerwa na bro Alex on la beats yoow tajitahid nisitumie kwako mkuu relax

Kwishaaaaaa
 
No umesoma VIZURI HAPO JUU mkuu. Kuwapa WATU taarifa ni busara SANA unafahamu madhara ya baadae?

Unafahamu watoto WENGI street children ni mazalio ya upumbafu kama huu mkuu. Ulishawahi kuona KWENYE familia ya marehemu watoto wanakataliwa KUWA hawatambuliki?

Au hata misiba hamuudhuli NDO MANA mnaishi kisela watoto wanapitia kipindi kigumu kwa ujinga WA wazaz na washauri WAO. Kuna madogo MPAKA KESHO nikiwaangalia huwa nau in mia SANA. Baba YAO ALIKUA MTU WA madini PESA IPO ILA alivo aga mashindano, watoto wakakataliwa huu upuuzi NDO mnao uunga mkono alafu NYIE watoto wenu wanaishi VIZURI watoto WA mtaani mumewabatiza neno machokora, tujizi kumbe na NYIE mna michango wenu KWENYE Yale wanayo pitia. SAMAHAN kama Kuna kauli imekukela.



Kwishaaaaaaaaa
Mtu ana uhuru wa kukupa au kutokupa taarifa harusi yake.

Kwa sababu harusi ni yake. Usimpangie.

Usijipe umuhimu usio nao katika maisha ya mtu ambaye hajakupa umuhimu huo.
 
Back
Top Bottom