bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
- Thread starter
- #21
Niumie Nini SASA. We UNAWEZA KWENDA olewa au kuowa bila kushtua JAMAA ZAKO HIVI UKO unako enda kuoa au kuolewa wana PATA picha ipi na WATZ. Mnaishi usela WA kizamani amka WEWE utaloanisha shuka.sa we inakuuma nini?
Kuna mambo FANYA PEKE yako na Kuna MENGNE chukua hata wana wachache angepata ajali JE. NDOA ikimgomea NYIE SI NDO waanza kcheka na kukejeli. Sasa Mimi SIO mnafiki mwenzenu kusubiri yamshinde KUNUNUA bando mkamsimange mi NME ONGEA MAPEMA kama kaka kua aombe radhi katukosea MBONA michango WA konde alituomba kama hayatuusu. "Usela mavi must go" nakemea kaka
Kwishaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow.......... Jah iz really