Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake

Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake

Pongezi kwake, kwa kuweza kupata mke nje ya nchi; sisi wengine ambao tumeshindwa kuvuka mipaka, tupambanae na waliopo.

Mkuu mimi nilivuka mipaka lakini nilikuja kigundua ni mistake kubwa wakati ishakuwa too late. Wanawake wetu nyumbani ndio wa kufanya nao maisha kwasababu nyingi sana. Wanawake wa kitanzania mpewe maua yenu.
 
Unamanisha IBRA kaona wabongo WOTE wanachonga. Una MAANA kwa SASA IBRA Hana RAFIKI hata MmOJA?

Basi YEYE NDO ana TATIZO YANI we ukose RAFIKI hata MmOJA unaishi mawinguni au? Bro nilitegemea WATU WAZIMA wanjitahidi kushepu gari iendeje cha ajabu na WAO wametulia kusubiri wanakopelekwa hata kuhoji amna Hilo NDO TATIzo LETU linalo tutafuna YANI bongo ILI UWE na akili basi UWE MTU WA ndio mkuu kuhoji aaaaaah. Imenisikitisha SANA


Kwishaaaaa
Mtu ana uburu wa kufanya ndoa yake kwa faragha.

Huelewi wapi?
 
Mkuu mimi nilivuka mipaka lakini nilikuja kigundua ni mistake kubwa wakati ishakuwa too late. Wanawake wetu nyumbani ndio wa kufanya nao maisha kwasababu nyingi sana. Wanawake wa kitanzania mpewe maua yenu.
Kwa nini?
 
Back
Top Bottom