TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Malaria ipo au haipo ? Inaua haiui ? Hapo kwenu imeua nani?
 
Ngoja aje usharusha mawe kwenye nyumba ya vioo
 
R.I.P C Pwaa! Nakumbuka kibao chako cha Problem aina flani hivi ya Hiphop ya kizazi sana.
Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.
RIP CP
 
Khaaaa!!!
 
Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.
RIP CP
Acha kabisa mkuu, beat moja hivi ambayo Lucci aliisuka kwa umakini sana utafikiri za mbele za nyakati hizi...
 

IFM Hawatoi wahandisi mkuu uhandisi sio kalio kwamba kila mtu anaeza upata..,sema alisoma computer science kitu ambacho halina uhusiano na uhandisi
 
Kila siku tunasema hapa JF ,Kuanzia Dec 2020 idadi ya vifo vya ghafla vimeongezeka sana,huyu ni maarufu lakini kwa watu ambao sio maarufu ,huku mitaani kila siku ni post tu za vifo ,ukija mtaani kila siku unasikia fulani kafa! Dipotiva la nimonia lipo wadau,tuwe tunatumia malimao,kutafuna tangawizi,kutumia mchaichai,pilipili kwa sana!!

Askofu bagonza - Kuna kitu hakiko sawa

Cc: BAK
 


Haikua ghafla wamesema ameugua kwa wiki2 akawa anatumia dawa huku akiendelea na kazi zake

Ilipofika jumatano akazidiwa wakamkimbiza muhimbili wakakuta pneumonia ilishamharibu sana mapafu

Kifo hakikosi sababu lakini tukiugua tuwahi hospitali tuu


Lala salama Cpwaa💔
 
Kwahiyo hao wakina CP walikuwa wanaishi Pakistan , pumbav kabisa wewe
 

KOYU KEZA MBOCHI TOCHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…