iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Dk 0 tu imetoka kupigwa hii ngoma Wasafi FM saiv! Yupo live DJ Vasley anapiga ngoma zote zinazomhusu Cpwaa Wasafi FM daah!AISHA AISHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 0 tu imetoka kupigwa hii ngoma Wasafi FM saiv! Yupo live DJ Vasley anapiga ngoma zote zinazomhusu Cpwaa Wasafi FM daah!AISHA AISHA
Ibada kuleta Baraka🙏Hapa full heshima leo
Biblia tumezishikaa mkononi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Malaria ipo au haipo ? Inaua haiui ? Hapo kwenu imeua nani?Mosi, Leta hapa hizo takwimu
Pili, Sijasema Tanzania haina maradhi
Tatu, Nikwambie tu sikatai Corona haipo lakini uwepo wake ni wa mashaka, kila anayesema kuna corona ukimuuliza imemuua nani anajibu amesikia fulani kafa na corona hasa wale Maarufu lakini huku mitaani, nyumbani kwake, kwenye ukoo wake hana uthibitisho wa kuuguliwa ama kufiwa na ndugu rafiki au jamaa kwa corona
Shida ni kwamba mnazungumza utafikiri ni gonjwa hatari mno, ukweli ni kwamba hata kama ipo sio tishio la kutufanya tuishi roho juu juu na kuanza kufungiana ndani
Ngoja aje usharusha mawe kwenye nyumba ya viooHujui hata kujenga hoja kilaza kweli wewe! Unaweza piga one ya 7 form four, six ukaenda fanya vibaya! Kuna mwamba alitoka na one ya 10 O level,six akatoka na 3 mbaya sana!
Msela akapiga remedial class, then akapiga Bachelor,msela aliweka record ya First Class moja hatari sana,akafanya CPA kila module alifanya single sitting,na siku ya Graduation ya NBAA alikua moja ya watu waliofanya vizuri sana,Auditing firm kubwa kubwa hua zinachukua wale vipanga,jamaa nae siku hiyo alikua mmoja wao,sema alitoa akaenda zake PSSSF now yuko ofisi ya Msajiri wa Hazina!
Damu damu, wazee wa pisi Kama pisi, kichuguu
Wakati huo magufuli anasema Corona haipo, ila vipimo vya corona ni laki mbili na usheeeHaya magonjwa ya mfumo wa hewa yameongezeka sana...TAHADHARI!!
R.I.P Cpwa
Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.R.I.P C Pwaa! Nakumbuka kibao chako cha Problem aina flani hivi ya Hiphop ya kizazi sana.
Khaaaa!!!Utamjulia wapi wewe mlamba tako la mawe?
Watu mlio-sick na freedoms za watu in such a way mna suppress hadi artistic authenticity ya wasanii?
Utakaa umjulie wapi wewe?
Your own artists who reflects social actions to your population,huwajui,utakaa umjue mzee massawe mwananchi wa kawaida mchomelea masufuria pale Kimara?
You maafakaz are living in your own bubbles and think the world is like what is in your own bubbles!
Fakauraaa hiyaaaa!
Because of his technology capabilities'CP=Change Point
Acha kabisa mkuu, beat moja hivi ambayo Lucci aliisuka kwa umakini sana utafikiri za mbele za nyakati hizi...Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.
RIP CP
It was beyond its time, mimi nilipoisikia nikahisi hii beat ya mbele. Lucci yuko wapi kwa sasaAcha kabisa mkuu, beat moja hivi ambayo Lucci aliisuka kwa umakini sana utafikiri za mbele za nyakati hizi...
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua ugonjwa wa Nimonia uliopelekea kifo chake.
CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la Park Lane akiwa na msanii mwenzake Suma Lee kabla ya kundi hilo kuvunjika mwanzoni mwa miaka ya 2000.
CPwaa pia alikuwa ni Mhandisi wa mifumo ya TEHAMA, elimu aliyoipata katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)
Update
Baada ya familia ya Cpwaa kukaa kikao, wamekubaliana kwamba atazikwa siku ya leo saa 10 jioni kwenye makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni.
View attachment 1679414
Hapiti mtu hapa.Ndio hivyo Dunia tunapita.
Ndio hivyo Dunia tunapita.
NimoniaMbona kafa haraka haraka hivyo ? 😢😢😢
Kila siku tunasema hapa JF ,Kuanzia Dec 2020 idadi ya vifo vya ghafla vimeongezeka sana,huyu ni maarufu lakini kwa watu ambao sio maarufu ,huku mitaani kila siku ni post tu za vifo ,ukija mtaani kila siku unasikia furani kafa! Dipotiva la nimonia lipo wadau,tule tunatumia malimao,kutafuna tangawizi,kutumia mchaichai,pilipili kwa sana!!
Askofu bagonza - Kuna kitu hakiko sawa
Cc: BAK
Kwahiyo hao wakina CP walikuwa wanaishi Pakistan , pumbav kabisa weweMosi, Leta hapa hizo takwimu
Pili, Sijasema Tanzania haina maradhi
Tatu, Nikwambie tu sikatai Corona haipo lakini uwepo wake ni wa mashaka, kila anayesema kuna corona ukimuuliza imemuua nani anajibu amesikia fulani kafa na corona hasa wale Maarufu lakini huku mitaani, nyumbani kwake, kwenye ukoo wake hana uthibitisho wa kuuguliwa ama kufiwa na ndugu rafiki au jamaa kwa corona
Shida ni kwamba mnazungumza utafikiri ni gonjwa hatari mno, ukweli ni kwamba hata kama ipo sio tishio la kutufanya tuishi roho juu juu na kuanza kufungiana ndani
Jamaa alikuwa Georgia akisoma sijui Kama amesharudiIt was beyond its time, mimi nilipoisikia nikahisi hii beat ya mbele. Lucci yuko wapi kwa sasa
Siku nikimsikia baba yangu amerudi nyumbani basi nitajua Koona imeisha au kupungua. Hali si hali toka katikati ya Novemba 2020. Mlonganzila, Muhimbili, Aghakan na Hindumandal ni hospital zenye kutoa huduma nzuri sana. Mpende jirani yako kama ujipendavyo wewe mwenyewe. Hii amri ni ngumu sana ila ukiitekeleza ni thawabu kubwa sana. Ogopa sana binadamu mdanganyifu.