TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mosi, Leta hapa hizo takwimu
Pili, Sijasema Tanzania haina maradhi
Tatu, Nikwambie tu sikatai Corona haipo lakini uwepo wake ni wa mashaka, kila anayesema kuna corona ukimuuliza imemuua nani anajibu amesikia fulani kafa na corona hasa wale Maarufu lakini huku mitaani, nyumbani kwake, kwenye ukoo wake hana uthibitisho wa kuuguliwa ama kufiwa na ndugu rafiki au jamaa kwa corona

Shida ni kwamba mnazungumza utafikiri ni gonjwa hatari mno, ukweli ni kwamba hata kama ipo sio tishio la kutufanya tuishi roho juu juu na kuanza kufungiana ndani
Malaria ipo au haipo ? Inaua haiui ? Hapo kwenu imeua nani?
 
Hujui hata kujenga hoja kilaza kweli wewe! Unaweza piga one ya 7 form four, six ukaenda fanya vibaya! Kuna mwamba alitoka na one ya 10 O level,six akatoka na 3 mbaya sana!

Msela akapiga remedial class, then akapiga Bachelor,msela aliweka record ya First Class moja hatari sana,akafanya CPA kila module alifanya single sitting,na siku ya Graduation ya NBAA alikua moja ya watu waliofanya vizuri sana,Auditing firm kubwa kubwa hua zinachukua wale vipanga,jamaa nae siku hiyo alikua mmoja wao,sema alitoa akaenda zake PSSSF now yuko ofisi ya Msajiri wa Hazina!
Ngoja aje usharusha mawe kwenye nyumba ya vioo
 
R.I.P C Pwaa! Nakumbuka kibao chako cha Problem aina flani hivi ya Hiphop ya kizazi sana.
Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.
RIP CP
 
Utamjulia wapi wewe mlamba tako la mawe?

Watu mlio-sick na freedoms za watu in such a way mna suppress hadi artistic authenticity ya wasanii?

Utakaa umjulie wapi wewe?

Your own artists who reflects social actions to your population,huwajui,utakaa umjue mzee massawe mwananchi wa kawaida mchomelea masufuria pale Kimara?

You maafakaz are living in your own bubbles and think the world is like what is in your own bubbles!

Fakauraaa hiyaaaa!
Khaaaa!!!
 
Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.
RIP CP
Acha kabisa mkuu, beat moja hivi ambayo Lucci aliisuka kwa umakini sana utafikiri za mbele za nyakati hizi...
 
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua ugonjwa wa Nimonia uliopelekea kifo chake.

CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la Park Lane akiwa na msanii mwenzake Suma Lee kabla ya kundi hilo kuvunjika mwanzoni mwa miaka ya 2000.

CPwaa pia alikuwa ni Mhandisi wa mifumo ya TEHAMA, elimu aliyoipata katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

Update
Baada ya familia ya Cpwaa kukaa kikao, wamekubaliana kwamba atazikwa siku ya leo saa 10 jioni kwenye makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni.

View attachment 1679414

IFM Hawatoi wahandisi mkuu uhandisi sio kalio kwamba kila mtu anaeza upata..,sema alisoma computer science kitu ambacho halina uhusiano na uhandisi
 
Kila siku tunasema hapa JF ,Kuanzia Dec 2020 idadi ya vifo vya ghafla vimeongezeka sana,huyu ni maarufu lakini kwa watu ambao sio maarufu ,huku mitaani kila siku ni post tu za vifo ,ukija mtaani kila siku unasikia fulani kafa! Dipotiva la nimonia lipo wadau,tuwe tunatumia malimao,kutafuna tangawizi,kutumia mchaichai,pilipili kwa sana!!

Askofu bagonza - Kuna kitu hakiko sawa

Cc: BAK
 
Kila siku tunasema hapa JF ,Kuanzia Dec 2020 idadi ya vifo vya ghafla vimeongezeka sana,huyu ni maarufu lakini kwa watu ambao sio maarufu ,huku mitaani kila siku ni post tu za vifo ,ukija mtaani kila siku unasikia furani kafa! Dipotiva la nimonia lipo wadau,tule tunatumia malimao,kutafuna tangawizi,kutumia mchaichai,pilipili kwa sana!!

Askofu bagonza - Kuna kitu hakiko sawa

Cc: BAK


Haikua ghafla wamesema ameugua kwa wiki2 akawa anatumia dawa huku akiendelea na kazi zake

Ilipofika jumatano akazidiwa wakamkimbiza muhimbili wakakuta pneumonia ilishamharibu sana mapafu

Kifo hakikosi sababu lakini tukiugua tuwahi hospitali tuu



Lala salama Cpwaa💔
 
Mosi, Leta hapa hizo takwimu
Pili, Sijasema Tanzania haina maradhi
Tatu, Nikwambie tu sikatai Corona haipo lakini uwepo wake ni wa mashaka, kila anayesema kuna corona ukimuuliza imemuua nani anajibu amesikia fulani kafa na corona hasa wale Maarufu lakini huku mitaani, nyumbani kwake, kwenye ukoo wake hana uthibitisho wa kuuguliwa ama kufiwa na ndugu rafiki au jamaa kwa corona

Shida ni kwamba mnazungumza utafikiri ni gonjwa hatari mno, ukweli ni kwamba hata kama ipo sio tishio la kutufanya tuishi roho juu juu na kuanza kufungiana ndani
Kwahiyo hao wakina CP walikuwa wanaishi Pakistan , pumbav kabisa wewe
 
Siku nikimsikia baba yangu amerudi nyumbani basi nitajua Koona imeisha au kupungua. Hali si hali toka katikati ya Novemba 2020. Mlonganzila, Muhimbili, Aghakan na Hindumandal ni hospital zenye kutoa huduma nzuri sana. Mpende jirani yako kama ujipendavyo wewe mwenyewe. Hii amri ni ngumu sana ila ukiitekeleza ni thawabu kubwa sana. Ogopa sana binadamu mdanganyifu.

KOYU KEZA MBOCHI TOCHA.
 
Back
Top Bottom