TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

R.I.P C Pwaa! Nakumbuka kibao chako cha Problem aina flani hivi ya Hiphop ya kizazi sana.
 
Yeah alikuwa alazwa hospital moja na limashine la mvuke aliwekewa ila naona kiloki kiligoma kutoka! Jamani Corona ipo na hiyo nimonia wanayosema imempeleka basi changanya na zako.
 
Duh, Pumziko La Amani Apate Mwamba.

Nakumbuka ni Msanii wa muda tu, kuna ngoma yake moja kuna mstari unasema "ndani ya daladala naachia kitu like....."
 
Until we take our final breath he will live in our heart, his love will light our way. His memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing him!

R.I.P mwamba!
 
Shida ni kuwa Boss mkubwa alisema koona imefukuzwa kwa maombi, sasa nani wa kupinga??????? Ukweli ni kwamba ugonjwa hauna mipaka na hauitaji passport kuhama nchi. RIP CPWAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…