TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Poleni Sana Ndugu , Jamaa na Marafiki.

Cpwaa ametoa ngoma nyingi sana Problem,6 in da morning etc ila Naikubali Sana Pini alilopiga akiwa parklane - Semeni Ohoo.....Nilikuwa napita sehemu mida kama ya saa tano hivi nikasikia wanalipiga ilo pini nikashangaa sana nani redio gani inapiga mapini yaliyobang kitambo ,Da kumbe walikuwa wanamkumbuka.

Parklane - Semeni oh ndio pini nalolipenda sana ,mwenye nayo please wekeni hapa.
 
Haikua ghafla wamesema ameugua kwa wiki2 akawa anatumia dawa huku akiendelea na kazi zake

Ilipofika jumatano akazidiwa wakamkimbiza muhimbili wakakuta pneumonia ilishamharibu sana mapafu

Kifo hakikosi sababu lakini tukiugua tuwahi hospitali tuu

Lala salama Cpwaa💔

Doooh Week mbili zilizopita ,imagine watu aliokutana nao hizo week mbili.
 
Back
Top Bottom