Labda ALIZIRAI teh!Irene Paul ndo nan?..kuna kuzimia na kutokujitambua kabsa alf kuna kuishiwa nguvu(miguu kukosa nguvu)lkn unajitambua...mm nahisi ndugu muombolezaji aliishiwa nguvu tu na hajazima
Nilikuepo siku iyo...ulikua umelewa bana sio kama ulikua na uchungu na marehemuMbona possible kwasababu hata mm ilishawahi kunikuta wkt naaga mwili wa marehemu miguu ilkuwa mizito kwel kwel
Hahaha..Nilikuepo siku iyo...ulikua umelewa bana sio kama ulikua na uchungu na marehemu
ni chizi sana huyu!!..hahaaa halafu kumbe Hawa Jamaa walifnya kusudi huu ujinga...hahaa huyu idriss akili zake kamkopesha nani sijui"""
yaani hpo mimi nikasomeni chizi sana huyu!!..
hao waliambizana"" hakuna jingineSasa mtu analeta ujinga kwani usimtupe kabisa
[emoji106]Sasa mnajadili kwa ku refer maoni ya Irene?
Yeye ana ufahamu gani mifumo mwili, zaidi sana sana katoa maoni yake tu.
Duuuuuuuuu hataRiAse nyie bongo movie acheni usanii wenu kwenye misiba eti ndio kazimia hapo
Halafu mwanaume unaanzaje kuzimia ?. .Makonda anza kuwapima tezi dume watu wa mkoa wako sasa naunga zoezi lako kwa asilimia 100 mwanaume unaanzaje kuzimia View attachment 753710
Wanarembuma mpaka wanajidondosha chini; uyu ni mwanaume kweli??? minajuaga mwanaume alii wala azimii ilamacho yanakuwa mekundu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamefanya nini?