Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

Hivi anaijua mikono au anaisikiaa
Naijua miguu
IMG_20180422_193257.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maigizo mpaka kwenye msiba kweli hawa wasanii
 
Ase nyie bongo movie acheni usanii wenu kwenye misiba eti ndio kazimia hapo


Halafu mwanaume unaanzaje kuzimia ?. .Makonda anza kuwapima tezi dume watu wa mkoa wako sasa naunga zoezi lako kwa asilimia 100 mwanaume unaanzaje kuzimia
FB_IMG_15244192372881170.jpg
 
Wamefanya nini?
Wanarembuma mpaka wanajidondosha chini; uyu ni mwanaume kweli??? minajuaga mwanaume alii wala azimii ilamacho yanakuwa mekundu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Baba ake aliye agwa kabisa mbona ajazimia?

Looooooo! Kujishetua
 
Back
Top Bottom