elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Mkuu usicheke anaitaji mfadhiri uyoDah wakuu nmecheka sana hii thread
Acha kabisa, hapo ndipo wanakula jeuri yao ya kusema nataka mwanaume hivi nataka mwanaume vile..mwisho wa siku yoyote yule!Daah aisee kweli ujana maji ya moto
Aje nimgegede kwanza akishika mimba naoa, asiposhika basi. Pia vipimo muhimu maana alijirusha na mapedeshee kibao. Vinginevyo unaweza ibuka na kunguni wa kwenye damu !!Mkuu Brightfame vigezo na masharti ni 'kuwa tayari kuoa'
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
Dah kweli mkuuUjana maji ya moto....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Joseverest mhenga mwenzako huyu anakufaa
Mondray usije mfunua na kumfunika dada wa watu mana kivyovyote hakuna sharti la no sx b4 marriage
cephalocaudo syo mbaya, atakulea
Mwenye nia ya ndoa haangalii mambo ya mileage,na haina makombokilambalambila hatari, dada zetu wanajisahau mno wanahangaishwa na miluzi na kioo
ras jeff kapita kuhusu km. Mi sjui mkuu, kamchek insta umwulize vema ila nina wasiwasi huenda katembea km nying sana, lakn mkuu itakuwa imerud tena haijalegea
Hebu mumsitiri Blandina,acheni zenu
Atakuwa tayar tu,kama upo tayar nenda bhanaPamoja na kuwa 'tayari'. Sasa issue ni kuwa 'tayari' na mambo yaliyopo huko ndani ya hiyo ndoa tarajiwa.