Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

Kwasasa tz hatuna common definition ya uzalendo na hii ni dalili mbaya ambayo inatakiwa kutibiwa mioyoni mwa watu.
Lakin nina uhakika ikitokea ikaendelea hivi itafika hatua huo utofauti wa hiyo difination waweza fika hadi kati ubongo na moyo wa taifa as long as nazo pia ni sehemu za cell/tissue za mwili wa taifa.
 
Wananchi hawataacha wala kunyamaza Juu ya NO REFORM NO ELECTION
 
Bahati ni nzuri Huezi kuongea ujinga Wako Kwa Lugha ambayo ataielewa
 
by now he knows what those comment meant mostly what the people in this country feel and think about their president... direct humiliation to ccm and samia
this year CCM seem very weak with poor minded fools running their holes
 
Nyie machawa na mabwana zenu ndio msiofika hata 2000 kote nchini!

Mabwana zenu ni wale viongozi wote (waziri's, mp's, rc's, dc's nk nk) wanaofaidika na mapungufu ya utawala wa kilaza kutoka kizimkazi!
 
Hizi harakati zinapokuja mwaka wa uchaguzi wa 2025 haziwezi kuwa na jipya kwa mpiga kura ambaye kwa pamoja na mbunge wake wametatua kero za kila siku za mwananchi wa jimbo husika.
Unajua unachokizungumza ndio hiyo No Reforms yenyewe, kwamba mtu mwingine anafanya kampeni miaka 5 halafu mwingine anapewa siku 60 tu kufanya kampeni. Wewe mwenyewe unakiri kuwa ni ngumu kwa huyu wa siku 60 kushinda huo uchaguzi. Unachosema ni kuwa, lazima sheria zibadikishwe, watu waruhusiwe kufanya mikutano na kampeni kwa miaka yote ili kuweka usawa kati ya wapinzani na watawala.
 
Nyie machawa na mabwana zenu ndio msiofika hata 2000 kote nchini!

Mabwana zenu ni wale viongozi wote (waziri's, mp's, rc's, dc's nk nk) wanaofaidika na mapungufu ya utawala wa kilaza kutoka kizimkazi!
Nasemaje, mtafirimbwa na wabelgiji mpaka Dunia iishe lakini kamwe hamtoshika madaraka nchi hii........Tanzania hii haiwezi kuuzwa kizembe hivyo pimbi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…