Nimejaribu kufuatilia katika blogs na vyanzo vingine vya habar,nimekuta NI KWELI LANGA KAFARIKI LEO saa kumi jioni za huko tanzania. Langa alikuwa amelazwa muhimbili tangu ijumaa,baada ya kushikwa na malaria kali na kumfanya ashindwe hata kujitambua.
Najua yatajitokeza mengi likiwemo la kutumia unga lakini kuna siku niliwahi kusema humu kuwa ni vema tukawa tunawasaidia hawa vijana wakat hawajaharibikiwa zaidi kuliko kuonesha kuwafaha zaidi wakisha patwa nam atatizo kama hivi.
Eeehh MUNGU ibariki nchi yanhu tanzania wabariki na vijana wote.