Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

langa.jpg



Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa afariki dunia..
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.


TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI CHA GLOBU YA JAMII,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA.

LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.
Mungu amrehemu.

ENDELEA KUWA NASI TUENDELEE KUKUPASSHA ZAIDI KKUHUSU CHANZO CHA KIFO HICHO
 
Nimejaribu kufuatilia katika blogs na vyanzo vingine vya habar,nimekuta NI KWELI LANGA KAFARIKI LEO saa kumi jioni za huko tanzania. Langa alikuwa amelazwa muhimbili tangu ijumaa,baada ya kushikwa na malaria kali na kumfanya ashindwe hata kujitambua.
Najua yatajitokeza mengi likiwemo la kutumia unga lakini kuna siku niliwahi kusema humu kuwa ni vema tukawa tunawasaidia hawa vijana wakat hawajaharibikiwa zaidi kuliko kuonesha kuwafaha zaidi wakisha patwa nam atatizo kama hivi.
Eeehh MUNGU ibariki nchi yanhu tanzania wabariki na vijana wote.

http://waptrick.com/download/Langa/Matawi-Ya-Juu/?type=FT&id=183103
 
( Langa Kileo)
Jun 5 near Dar es Salaam

Remember how we used to chill n smoke together roll ganja drink liquer and joke together
I used to call u snoop Dogg, U used to call me Tupac

We was supposed to do a good track but u left too fast.
R.I.P Ngwea

Hakika hakuna aijuae Kesho,Mungu ndo anajua P K A
BRADAH
 
Naona huu mwaka haujakaa vizuri kwa wasanii wa bongo. R.I.P bro.
 
Sad news n great loss indeed.I knw th dude from primary school to O level at Loyola,he could hav made it so far kama tungekuwa na institutes za kuendeleza vipaji.at Olimpio I knew he could draw sana tu,then later had passion for music wit hz crew Wu-Tang wa Loyola.I can't believe all this is gone,R.I.P comrade

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mungu amlaze mahala pema peponi
 
Inawezekana hizi dawa za kulevya siku hizi zina mixiwa na sumu...mateja wajichunge watapukutika woote!
 
anafuata Mr.Blue sasa
Nae ni teja mzuri tu.....
Wataisha mwaka huu

R.I.P Langa,
Nilikuwa nazikubali sana kazi zako mkuu,
Daah! So sad!!
 
Back
Top Bottom