Stomarch X Stomach X = Bellystomarch
Na raha ya kuonesha ujinga je?Mnaomtukana hamjui raha ya mtt wa kwanza
UVCCMHuyu dada ni limbukeni.
hivi nani anawapaga mimba hawa wasojiheshimu???
Hahahaha....Daah!Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.masingle mama utawajua mapema sana,sasa hiki ni nini kama sio uchawi?
[emoji23] [emoji23]Mimba yenyewe ni ya Madee unategemea nini na kile kichwa cha ndumu plus mitungi?
Usimwite mkuu kwanza huyo mpotezee anatetea mambo ya ajabuMtoto wa kwanza ndio kuanika picha za vitumbo na vichup!! Acha ulimbukeni mkuu
Hy ni mimba, sio mtoto, miezi ni tisaMnaomtukana hamjui raha ya mtt wa kwanza
Mkuu baada ya kujifungua ndo alianza kuzieka hizo pichaView attachment 504899 Linah apokea kichambo kwa picha hizi
Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.
Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau wa msanii huyo wamemtupia maneno huku wengine wakimtaka avae dera kama nia ni kuonesha tumbo lake.
Wengine wameishia kusema "wanga" ni wengi,unaweza kupigwa jicho tu la husda ukaishia kuzaa mjusi.Hali hii imefanya watu waamini ni kinyume cha maadili na kuiga utamaduni wa magharibi kuonyeshatumbo lenye ujauzito
[emoji1] masingle mama ni wanawake wa ajabu sana ujue?Hahahaha....Daah!
Mkuu bifu lako na Masingle mama litaisha lini?