Alafu si alikua anajiita mlokole huyu kuna siku alipost picha yupo BCIC kwa Askofu Gamanywa.Hapo ndio nduguzetu walokole wanavyokuwaga wanafiki,Zamani walikua wanatucheka wakatoliki eti kwanini tunafungisha ndoa wakati MTU kashazaa tayari sasa kipo wapi sikuhizi mbona walokole nao wanafungisha ndoa mwanamke ana mimba tayari akiingia kanisani na kibakuli cha kutemea mate.