Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Anasema anatokea familia yenye maadili ya DINI.
Wakinga HOYEEEE[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
stomarch
 
Huyu dada ni limbukeni.
hivi nani anawapaga mimba hawa malaya wa mjini wasojiheshimu???

Kuna kitu mimi sikielewi katika maisha ya kila siku ya binadamu. Kwanini sisi walimwengu ni wepesi sana kuhukumu maisha ya wenzetu???? Yaani ukisoma bandiko la huyu mwenzetu it is like.....yeye is super human. Na kila mtu inabidi aishi na kuyaona maisha yeye anavyoyaona. What makes you think that you can impose your values on others? Umeshamuhukumu ni Limbukeni, Malaya, hajiheshimu. Sidhani kama uko sahihi. Jitafakari.

Tuache kuhukumu maisha ya wengine. Linah ana amaisha yake. Let her do what makes her happy.

Mimi simjui na wala si shabiki wake huyu dada. Lakini naamini ana haki ya kufanya anayoyafanya na mwili wake.
 
KWAKUWA AMEONA NI JAMBO LINALOFAA KUONESHA UMBO LA MIMBA YAKE HADHARANI
BASI ITAKUWA VIZURI ZAIDI AKIONESHA NA SEHEMU ILIPOINGILIA HIYO MIMBA
 
Wenyewe wanaita maternity photoshoot, C&P kutoka kwa wazungu...Nakumbuka mama zetu walikua wanavaa dera zao mpiga picha anakuja wanapigwa wakiwa wamekaa upande upande tumbo lioekane.ila hawa wanaojiganya wame evolve kifikra wanafanya vituko kama hivi.
 
umarekani utatumaliza wabongo#cheapfame
 
Huyu manzi ni kichaa kweli......na mimba ikichoropoka aje atume pia
 
This is not fair Linah, this is too much, you are my favorite singer but for this I undergrade you, ficha mimba onyesha mtoto, waweza zaa maji matupu sasa sijui sifa zitakutoka ama vp..shame on you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…