Kweli damu ya mtu si mchezo. Sasa mkishamkanyaga na gari si bora mumuache barabarani tu ionekane kagongwa na gari?
Unauliza Makofi Polisi,Nyoka Mwenye Makengeza Kapiga Dili Karibia Zote Unazozijua wewe tena kalamba Mabilioni.Za kawaida au maghorofa mkuu?
JF inaendelea kuendeshwa na sie wahenga, damu changa si nyingi, kwenye hili jukwaa la umbea tunategemea kupata taarifa kutoka kwa kina warumi ambao na wenyewe washazeeka[emoji1]Uzee huu mzee mwenzangu..
Sio kila mtu anakaa jf all the time
Ila Kule Instagram vijana wengi wanakesha muda wote
Akitajiwa za sinza, knyama etc si Ata blwUnauliza Makofi Polisi,Nyoka Mwenye Makengeza Kapiga Dili Karibia Zote Unazozijua wewe tena kalamba Mabilioni.
Mtemi Ana ny--- kama 3--- kitaa kile
Ova
Unauliza Makofi Polisi,Nyoka Mwenye Makengeza Kapiga Dili Karibia Zote Unazozijua wewe tena kalamba Mabilioni.
Ukishajua!!!?Vp hakuingiliwa kinyume na maumbile kabla ya kupigwa?
Hata maelezo ya Mwenyekiti kuna namna yanakanganya. Mwanzoni amekiri kuwa aliletewa vifaa na Bwana anaitwa Dullah. Baadaye anakanusha kuwa Mtendaji wake ndiye aliviwasilisha kwake kwa niaba ya Dullah.
Maelezo haya yanasikitisha sana. Huyu dulla anajua kilichotokea kwanini ataje salasala na marehemu kakutwa mbezi kuna uwezekano aliteswa sala sala aatupwa mbezi na alijuaje vifaa ni vya nani lazma alimuona navyo salasala ... na hao vijana wenzake wanajua pia wameendaje kuchukua vifaa na walijuaje vipo kwa mtendaji kwanini wamwite mwenzao chizi wakati interview nyingine walisema alienda kwenye mishe zake tu ina maana walikuwa wanajaribu kumrubuni wapate vifaa na simu...kwanini wako worried na vifaa na simu kuliko rafiki yao..badala ya kuuliza nani kabileta maaana tunamtafuta ni ndugu yetu wanataka wapewe waondoke navyo..hakika kama kuna dna watakuta fingerprint zao kwenye gitaa na kwanini hawakuenda kuvifuata tena vifaa baada ya kuambiwa waende polisi...kama wanajua alipotea kwanini hawana rb? Jamaa walikua wanajua msela keshachomoa.
Kitu ganiKuna kitu kimejificha hapa.
Mateja hamnaaa siku hzi nkipitagaa siwaoniOk hiyo mitaa ina mateja kma wote sio ndio mitaa ya mnyama
Nasikia mwili wake umeokotwa ukiwa hauna nguo, sijui alikumbwa na nini kaka wa watu maskini.
mpwaaaaaaaa kama n hayaaaa ashafikaa aheraa na dhambi zakee ashasameheewa kukaaa KARIBU na mufti nayooo n baaarakaaDuh alikuwa anakaa opposite na nyumba ya mufti wa tz.....
Praise team tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpwaaaaaaaa kama n hayaaaa ashafikaa aheraa na dhambi zakee ashasameheewa kukaaa KARIBU na mufti nayooo n baaarakaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
"Acha niwaze" R I P Mbalamwezi