Kwamba yule mzee alikuwa anawatembezea,mbona hana muonekano wa uki-mbito?Kwani kuna mahala popote pale nimeandika kuwa Mimi GENTAMYCINE sitokufa? Waambieni 'Ugonjwa wa Nyani' huu unawaliza mno Wasanii Wetu.
Na wewe si ujiondoe huku 'gerezani'?..chukua kamba.Kachomoka gerezani
Tulia mkuu hata wewe ukichomoka sitaacha kukupongezaNa wewe si ujiondoe huku 'gerezani'?..chuka kamba.
R.I.P Mzee Jengua.