TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

R.i.p

Alikuwa anafanya vyema sana kuigiza kama baba mkali na mnoko.
 
Kaole haihusiani na jengua
Alikuwa kundi tofauti. Kiuigizaji, Kaole walikuwa vizuri sana. Michezo yao walikuwa wanaigiza vizuri. Hao akina Jengua, (CHEM CHEM KIDEDEA) michezo yao ilikuwa ni ya kitoto toto sana.
 
Mwantumu & sarafu!? Aisee tangulia mzee wetu na upumzike kwa amani.
 
Mimi sina uwezo hapa mimi piga uwa funguo ni kwa Mungu baba yeyeeeee aha wajera jera original kamba shingoni eeheee kisu pembeni oohoooo ahaa kidedede kidedede kidedede ahaa kidedede.

Nauliza mbili mara mbili ngapi
Nnnneeeee
Unaaaa bahatish aaaaa
Haki elimu

Pumzika kwa. Amani mzee
 
Back
Top Bottom