TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

MBONA BADO KUNA VITUO VYA HABARI VINAOGOPA KUTANGAZA? AU SIO HABARI YA KWELI?
 
Mungu awafariji ndugu, jamaa, marafiki na wafiwa wote.
 
Innalillah waynnayilah rajiun, huyu mzee ndo msanii aliyekua kabaki nikiangalia movie zake nafurah baada ya kututoka mzee majuto..

Kafanya makubwa sana kwenye tasnia, Sadly watu Hawa hata wakifaliki huwa hawasaminiwi ila akifa mwanasiasa unaskia soko flani linapewa jina lake inasikitisha sana
Mkuu amebakia Kingwendu ...
 
Mkali wa kidedea huyu. Hili igizo nimelitafuta sana YouTube nikumbushie enzi ila sijaliona kabisa
 
Back
Top Bottom