TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

Unaweza Kuonyesha na Kuthibitisha pasi na Shaka kabisa kuwa ni wapi nimesema Kafa na UKIMWI au hata nimeutaja huo 'Ugonjwa' wa UKIMWI?
Ugonjwa wa nyani sio tishio Kama kisukari au kansa, na familia imesema hajafa kwa ugonjwa wa nyani Bali alipooza
 
Nimeomba 'Uthibitisho' wako ni wapi nimesema Kafa na UKIMWI na kwanini unataka Kulazimisha Ugonjwa wa Nyani namaanisha UKIMWI? Unao?
Mim ukimwi Sina, Ila nakushangaa sana unavyouchukulia ukimwi Kama ugonjwa wa ajabu wewe wapi, Zama hizi unaogopa ukimwi ogopa kansa, neurodegenerative diseases, na kisukari

Kuna watu wametumia ARV na viral load iko chini, means hawawez ambukiza watu wengine na wakipimwa hawaonekan Wana ukimwi acha ushamba
 
Naona umeamua sasa kutoa Siri yako hasa juu ya ujaji wako duniani na njia uliyokuja nayo hivyo unadhani na wengine wote tumepita hiyo hiyo tu.
Ulikuja kwa bahati tu,kupitia tigo ndo maana uleta dharau kwa magonjwa na vifo vya watu,tunamlaumu Dingi yako siku hiyo alisahau kupiga nyeto..ukapatika asshole kama wewe
 
Mara ya mwisho kuonana na FUNGA FUNGA ilikuwa Mbeya 2005 nane nane!! Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki.

M.A.P M.F
 
Moja ya wasanii nawapenda sana toka enzi zile za Kidedea. Namkubali sana. Mola ampe makazi mema huko tuendako sote. Amin!
 
Back
Top Bottom