TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama "Jengua" amefariki dunia leo Desemba 15, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu....
Kuwa na busara,unaongea kama utaishi milele vile!siri ya kifo cha mtu aijuae ni Muumba..Kifo ni kifo tu hata ikiwa kwa bodaboda au ugonjwa wa nyani ulioutaja..Yua very stupid.
 
Kuwa na busara,unaongea kama utaishi milele vile!siri ya kifo cha mtu aijuae ni Muumba..Kifo ni kifo tu hata ikiwa kwa bodaboda au ugonjwa wa nyani ulioutaja..Yua very stupid.
Haswaaaaa na hajitambui kabisa!
 
Daah..!!nimesikitika[emoji22] R.I.P mzee
 
Uliingia kwa 'Binadamu' kutokea kwa 'Nyani' wa Misitu ya Congo DR ( zamani Zaire ) na Kugundulika nchini Uganda mwaka 1981. Unawafagia sana.
Ukimwi sio tishio Kama kansa na kisukari, yaani non communicable disease ndo inaongoza kuua watu wengi na sio ukimwi

Familia inasema alikua amepooza we unasema ukimwi
 
Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama "Jengua" amefariki dunia leo Desemba 15, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu...
Sepetu kaungua halaf anadanganya watu et kakata utumbo....wakat aliopita nao wote tunawajua na wameungua...bongo muvi ni death trap
 
Kuwa na busara,unaongea kama utaishi milele vile!siri ya kifo cha mtu aijuae ni Muumba..Kifo ni kifo tu hata ikiwa kwa bodaboda au ugonjwa wa nyani ulioutaja..Yua very stupid.
Kaongea as if yeye ataishia milele, unaweza usiwe na ukimwi na ukafa kabla ya mtu mwenye ukimwi
 
Alifanya nikaipenda tamthilia ya Maneno ya Kuambiwa daaaah hasa misemo RIP truel legendary
MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani....
 
Back
Top Bottom