TANZIA Msanii Mohbad kutoka Nigeria afariki dunia

Daah inasikitisha sana yaani unaumizwa /kuuawa kwa sababu ya juhudi zako za kujipambania maisha yako!!?

Binadamu tuna roho ngumu sana na za kikatili kuliko kiumbe yeyote yule hapa duniani😭😭
 

Huu msiba umeniuma kama jamaa alikua ndugu yangu dah,kuna dj nae alikua anafanya kazi kwa naira amekua chizi huwa anawapa madawa ukitaka kuchomoka,,,huyu naira ni katili sana unaambiwa kabla ya kifo cha mohbad naira alipewa ubaloz na watu wanaozibit mambo ya dawa za kulevya (Wakati yeye ni muuza unga)huku na kule wakamkamata mohbad ndio kisa chakupewa hayo madawa,,,hawa jamaa walimfanya mwenzao aishi kwa shida sana na hadi anaingia kaburini maana sio kwa kijeneza kile unaambiwa pasta alikandamiza shingo ili aenee kwenye jeneza,,,,,kijeneza kidogo wakamzika haraka haraka wakati davido alitoa naira mil2 walishindwa kumtafutia jeneza kubwa[emoji1373]ndio mana watu wanasema hadi familia yake inahusika!
 

Familia itakua imepata vitisho tu
 
Nimekupata sana....Asante sana.
Sasa kwanini alizikwa chapchap?
Baba mtu alihizinisha azikwe haraka haraka Kwa nini?
Na pia hiyo live waliingia hao kina marlian yaan naira na gang yake?
Yaani waliingia live kuonesha flan kafa kumbe sio?
Huyo lary na naira wooote wamekimbia just haraka haraka baada ya tukio au hawakuepo katika tukio?
Video akifikuliwa nimeiona ,shingo imevunjwa....maana imekunjiaka kabisa...mohbad ni mkristo....wakati wanaaga walimuona kweli....yaani tukio la mazishi Kuna watu walilishuhudia au hakukua na msiba....ni chap Kwa haraka wakafukia
 
🖐🏾🤣🤣🤣
Watu wanahoji kwanini amezikwa chapchap hivyo
FAmilia hasa baba ndio alitaka wazike haraka
Kijana ni mkristo
Hapa inaonekana familia inajua mchezo ila imepata vitisho
NAiraMarley na Samlarry tangu msiba hawajatoka hadharani na baada ya fukuto la #justiceformohbad wamepotea nchini hawajulikani walipo ndio story mmoja wao alionekana kenya


Vijana walioingia live wako watatu huwa wako na mohbad na team nairamarley
Nao hawajulikani walipo pia
 
Na hiyo ripoti hawaitoi sijui wanataka kuchakachua....
Ila hamonaiz ndo namuelewa Sasa hivi
 
Report ni kasababishiwa kifa ila wahusika sasa ndio hawajulikani hamonaiz tenaaa??
Kuna intaview alifanya kwamba anazuiwa mpaka kwenda kufanya show nje....
Mpaka alipoe Ile milion 600 sijui...na wakati bila hizo show hawezi kuilipa yaani Kwa kifupi bila jpm amonaiz wangemkaanga..
Hizi record lebel hawawek wazi tu ila hawataki utoke na ukitoka hawataki ufanikiwe..
Wameanza kumuongelea na don jazzy....msanii akitoka kwake anafulia
 
Ndio hivyo wanataka msanii abaki wagawane nae faida
 
Na jpm alikuwa anampenda sana hamo
 
Nilikuwa simjui huyu msanii ila baada ya kifo chake nimejaribu kufuatilia pana mengi sana hasa ile clip ya mwisho kabla ya kifo chake
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…