dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Pesa ndogo kwa msanii yeyote yule lakini lile tamasha ni just heshima tu,Zile show za Super Bowl Marekani wasanii huwa hawalipwi lakini wasanii wote wanajisikia fahari kutumbuiza kwenye show zile..Wasanii matajiri kabisa kama kina Jay z,Michael Jackson,Dr Dre nk wameshatumbuiza hapo sema tu ni vile Sugu huwa ana Ego ya kujisikiaSugu huwezi kumpa milioni 2 ya kufanya show! Nina imani hiyo ni pesa ndogo sana kwake.
Basi kiufupi ni project ambayo imeandaliwa kimiyeyusho na ipo hivyo na ndio mana sugu aligoma….usiklinganishe na SUPER BOWL😎Pesa ndogo kwa msanii yeyote yule lakini lile tamasha ni just heshima tu,Zile show za Super Bowl Marekani wasanii huwa hawalipwi lakini wasanii wote wanajisikia fahari kutumbuiza kwenye show zile..Wasanii matajiri kabisa kama kina Jay z,Michael Jackson,Dr Dre nk wameshatumbuiza hapo sema tu ni vile Sugu huwa ana Ego ya kujisikia
Huanda pia aliona Tamasha lina harufu ya siasa ( Mwana FA ) alianza leta siasa waka mtupa.. Na lengo huenda lilikuwa lile la FA mengine ilikuwa njia ya kufikia hapo. Mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi yakePesa ndogo kwa msanii yeyote yule lakini lile tamasha ni just heshima tu,Zile show za Super Bowl Marekani wasanii huwa hawalipwi lakini wasanii wote wanajisikia fahari kutumbuiza kwenye show zile..Wasanii matajiri kabisa kama kina Jay z,Michael Jackson,Dr Dre nk wameshatumbuiza hapo sema tu ni vile Sugu huwa ana Ego ya kujisikia
issue ni why umpe hela mkuu. Anakodiwa au. Respect ni ya maana kuliko izo pesa.Pesa ndogo kwa msanii yeyote yule lakini lile tamasha ni just heshima tu,Zile show za Super Bowl Marekani wasanii huwa hawalipwi lakini wasanii wote wanajisikia fahari kutumbuiza kwenye show zile..Wasanii matajiri kabisa kama kina Jay z,Michael Jackson,Dr Dre nk wameshatumbuiza hapo sema tu ni vile Sugu huwa ana Ego ya kujisikia
Ahahahhahaa mbna nyingi hiyo mkuuWampe Poor Brain hata elf 36 waone kama hataenda kutuwakilisha 😂
99% ya wasanii ni chawa watiifu wa ccm..Pesa ndogo kwa msanii yeyote yule lakini lile tamasha ni just heshima tu,Zile show za Super Bowl Marekani wasanii huwa hawalipwi lakini wasanii wote wanajisikia fahari kutumbuiza kwenye show zile..Wasanii matajiri kabisa kama kina Jay z,Michael Jackson,Dr Dre nk wameshatumbuiza hapo sema tu ni vile Sugu huwa ana Ego ya kujisikia
Huyo ni old-school rapper hayupo kwenye uimbaji..Mimi binafsi sijawahi kuona kipaji kwa huyu Mhe... Naonaga kama anafosi sana mambo.. anaimba kawaida sana.