Satan
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,201
- 3,652
Kumbe kurap sio kuimba, sasa huwa anafanyeje?Huyo ni old-school rapper hayupo kwenye uimbaji..
Ni moja ya wasanii wa kwanza kuitambulisha hip hop hapa Tanzania.. hio ni heshima kubwa sana
Kumbe kurap sio kuimba, sasa huwa anafanyeje?Huyo ni old-school rapper hayupo kwenye uimbaji..
Ni moja ya wasanii wa kwanza kuitambulisha hip hop hapa Tanzania.. hio ni heshima kubwa sana
Utakuwa umemielewa vibaya. He said yeye maisha hacharge hata senti moja kwenye collabo.Hakusema 2M kwa ajili ya show ila alipewa 2M ili aje aingizwe ktk miaka 30 kama sehemu ya waandalizi na mipango
Yote kwa yote Sugu ana Ego anaamini kuwa yeye ni Bora kuliko watu wengine kitu ambacho sio kibaya ila kwa Ile show ya mliman City ilienda vizuri
Acha zakoo na wewe lile tamasha kama sio zomea zomea lilikuwa lakujikomba kwa samia.Pesa ndogo kwa msanii yeyote yule lakini lile tamasha ni just heshima tu,Zile show za Super Bowl Marekani wasanii huwa hawalipwi lakini wasanii wote wanajisikia fahari kutumbuiza kwenye show zile..Wasanii matajiri kabisa kama kina Jay z,Michael Jackson,Dr Dre nk wameshatumbuiza hapo sema tu ni vile Sugu huwa ana Ego ya kujisikia
Mimi binafsi sijawahi kuona kipaji kwa huyu Mhe... Naonaga kama anafosi sana mambo.. anaimba kawaida sana.
Umri una uhusiano gani?Una umri gani?
Hajaiba. Akalewe le tu pesa za mbogamboga hazina mwenyewekwahiyo hiyo 2M ilirudishwa au ndo ilikula kwao
Ataenda na tomato zake kama dudubaya alivoenda na T.shirt zakeWampe Poor Brain hata elf 36 waone kama hataenda kutuwakilisha 😂
Upo kama mimi mkuu naona kama huwa anaongea ongea kwa haraka haraka tu hakuna jipya.Mimi binafsi sijawahi kuona kipaji kwa huyu Mhe... Naonaga kama anafosi sana mambo.. anaimba kawaida sana.
Mwana FA alitaka kuichafua fans wakamuwahi.Hakusema 2M kwa ajili ya show ila alipewa 2M ili aje aingizwe ktk miaka 30 kama sehemu ya waandalizi na mipango
Yote kwa yote Sugu ana Ego anaamini kuwa yeye ni Bora kuliko watu wengine kitu ambacho sio kibaya ila kwa Ile show ya mliman City ilienda vizuri
Ni kweli mkuu tuwe makini mno maana unawezakuta hata pichu tulizozivaa zinatoka CCM.Hizi project za kina makonda na uvccm tuwenazo makini sana lengo lake ni kuwatoa watanganyika kwenye reli ya kudai katiba mpya na kuwasahaulisha mauaji ya 26/10 sugu ameshituka mapema sana huu ni mtego
Swali zuri sana..Una umri gani?