Msanii namba 1 Afrika kwa sasa, Diamond Platnumz ajenga nyumba ya Ibada (Msikiti)

Unawapa benefit of doubt hao wachangiaji wengine, lets say msikiti ungekuwa una jengwa na mmiliki wa cartel ya drugs na tuna mfahamu pia ninge pinga.

Yale yaliyo wazi tuyapinge, ya walio jificha Mungu mwenyewe ata amua ilimradi kwa dhamiri zetu tuna jua kabisaa tunaingia masjid hatujui aliye changia ni mtu gani.

Diamond kujenga msikiti, sidhani kama ki imani limekaa sawa. Any way hayo ni mawazo yangu mimi.
 
Wanaojenga nyumba za ibada wengi kwa dini zote ni mashaka matupu,wengine wamewaibia wanachi,wengine wakabaji,wengine wauaji ila kuna muda unatafuta nusura unamgeukia mungu,si kitu kibaya,ila kuhoji uhalali tutapasuka vichwa.
 
Wanaojenga nyumba za ibada wengi kwa dini zote ni mashaka matupu,wengine wamewaibia wanachi,wengine wakabaji,wengine wauaji ila kuna muda unatafuta nusura unamgeukia mungu,si kitu kibaya,ila kuhoji uhalali tutapasuka vichwa.
Sasa mkuu
Mbona nimejibu hapo, kuwa tuwape benefit of doubt, at least mambo yao ambayo ni kinyume na dini hayako wazi kama kama diamond.
Na ikitokea lets say mtu kama Irene Uwoya aka jenga kanisa naye nitaona haija kaa poa, na hao wengine kujenga misikiti haim justfy diamond, kwa kuwa mostly mambo yao hayapo wazi kwenye jamii hapo tuna muachia Mwenyez Mungi ajaji mwenyewe.
 
Mna kazi.Wewe ni publicity secretary wake?Mmm.

Sawa hata hivyo,kwa kuwa hayo ndiyo kati ya maagano."Tutakufanya kuwa mfadhili." Sasa kweli yametimia..
 

Na ni haki yako pia,ni vyema kila mtu abaki na mawazo yake...asimamie kile anachokiamini.
 
Kweli kabisa,huenda sikusoma vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…