Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
- Thread starter
-
- #101
Heri kwako uishie duniani na mwenye idea kinachoendelea.ndugu we unaishi kwenye handaki nn? unaonekana huna Idea kinachoendelea duniani
We simbilisi tuliza nyege, kama hujui soma pita kimya.Namba 1 kwenye nn ewe kobe
Mkuu nawe jenga wako mkubwa km kumbi la sinema, yeye ndio uwezo wakeHiyo mbona kashfa kwa pesa alizo nazo kujenga msikiti wa thaman hyo
Kula banMh!! Mipasho hiyo
Huyo falla tena apigwe Life Ban kabisa.Kula ban
Hebu fanya research ndugu usiandike kwa mihemko...Kwa sasa.
Africa ipi mzee?..hahahaaaaPamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.
Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.
View attachment 445640
Afrika ya waafrika.Africa ipi mzee?..hahahaaaa
Kwa ubora.Msanii namba moja !!! (Unaumwa kiwiko ?)
TANZANIA tuna TBS shirika la viwango na ubora sasa wewe umetumia TBC au TBS kupima huo UBORA?Kwa ubora.
uislam hauna tatooMbona anavaa hereni uislamu unakubali kuvaa hereni?
Au ndio msemo wa baniani mbaya kiatu chake dawa?
You need to grow!Bado anaishi kwa mama, aanze akue atoke kwa mama ndio afikirie kujenga chuo.
Sawa mzee wa FIKSI.For your information, KIBA ana Mpunga wa kutosha tena anaweza akawa Mwanamziki wa kwanza TZ
Ali kiba nae nasikia anajenga chuo kikuu cha sayansi na teknolojia ya anga huko kigoma
Swali la kijinga Sana. Rudi shule
Umejawa na ushabiki MkuuPamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.
Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.
View attachment 445640