mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Ila mambo mengine ni ya kujitakia, kweli dunia ya Leo ni ya kujirekodi uko faragha na mpenzi wako tena unajijua ni staa? Mimi pamoja na kwamba sio staa huwezi ukanirekodi/kujirekodi tukiwa kwenye mambo hayo, kwanza najirekodi ili nimuonyeshe nani hayo mambo ya 'siri'? Huu ushamba wa smartphone utawacost sana
Sasa unamuaminije unayempigia? rudi kwenye philosophy yako utanielewa!Kivip ndugu
nenda hospitali ukapime kama kweli ulisikia kichefuchefu, hufanyagi?Mimi nyimbo zake zote za nandy nimezifuta kwa namna alivonitia kichefuchefu
Ilaa kama mzazi ukiona ilee daah...Licha ya aibu na ufedhuli wote uliotokea, anabaki kuwa mtoto kwa wazazi wake, wanaumia na kusononeka mno lakini ukweli uko pale pale, ni binti yao.