SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Star anashindwa kununua hata chup nzuri, yenye kuvutia?? Jamani mama zetu anzeni kuwafunda tena hawa watoto, chumba kichafu kama dampo, na kwahiyo chup tu mi hamu ingekata kabisa, ukijua unaenda kutoa mchezo unajiandaa, vaa hata nyeupe na tumaua twa kuvutia, ee mama!!! Hata jamaa anaonekana hajainjoi chochote, warudisheni Somo mabinti wajifunze usafi sio kujiparamua ma make up tu, na hicho chumba lazima kinatoa harufu ka choo ya walevi
Hayo ndo madhala ya kutembea na mvuta bangi
Si amewadiss wanaotembelea mandinga ya baba na kula kwa mama design kama yeye hana wazazi. Mbona kakimbilia kwa mama baada ya msala huu. Asituzingue bangi huyuMajibu ya BILNAS JUU YA HIYO VIDEO
View attachment 742564View attachment 742567View attachment 742569
Hayo ni Maisha binafsi, BASATA haiwezi ingiliaNawaomba BASATA mtoe mfano kwa wasanii bilnas na Nandy kwa kuwafungia maisha
Yupo vzr tu si arijirecord mwenyew usiumieNimeumia sana labda alibwia unga
Kawaida tu dada yupo kaziniYaani mie ndio nimechukia balaa, sijui kaka zake watamfanyaje?? yaani ni kero kwa familia.