Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
Video ya wanamuziki Nandy na Billnass wakiwa wako faragha wakipapasana kimahaba imevuja na kusambaa sana mitandaoni.

Wawili hao ambao wana historia ya kuwa wapenzi wameonekana wakiwa kitandani, Bill Nass akiwa chini na Nandy akiwa juu yake na nguo ya ndani pekee huku kijana huyo staa wa wimbo wa Chafu pozi akifanya kile ambacho vijana wa siku hizi wanakiita "Kupima Oil"

==========



Video ya msanii Faustina Charles maarufu Nandy inayomuonyesha akiwa faragha na mwanaume leo imezua gumzo mitandaoni ambapo mwenyewe amefunguka.

Akizungumza na MCL Digital leo Alhamisi, Nandy anayetesa na kibao chake cha ‘Kivuruge’ amekiri kwamba video hiyo ni ya kweli japo ni ya mwaka 2016 na kuwaomba Watanzania na Serikali msamaha kwa walichokiona.

Akielezea zaidi, amesema video hiyo ilichukuliwa akiwa katika uhusiano na mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva (jina tunalihifadhi), ambapo walikubaliana yawe ya siri.

“Sielewi ana maana gani kuitoa video hiyo kwa sasa na kufika kwenye mitandao, kwani ni vitu kama hivi vinafanyika kwa mtu yeyote anayekuwa kwenye mahusiano,” amesema.

“Nimesikitishwa sana na kitendo hicho na ‘ilishutiwa’ kwa mtindo wa ‘Snapchat’ na sijui kwa nini ameamua kuirushia sasa hivi, yaani sielewi nifanye nini.”

“Naomba radhi kwa mashabiki wangu, familia yangu, kanisani kwangu, Serikali kiukweli video imenichafua sana ila adhabu ya maumivu haya ninayoyapata sasa hivi ni kutokana na kumuamini mtu.”

“Sina cha kusema kwani hiki siyo kitu cha kwanza, kwani ni’shakuwa na mahusiano na mtu huko nyuma na akatishia kutoa picha zangu mpaka pale nilipoenda kuripoti polisi.”

Hata hivyo, Nandy amewaasa vijana kuwa waangalifu wanapokuwa katika uhusiamo kwani tukio hilo wengi wamelichukulia kama ‘kick’.

Katibu Basata amtetea Nandy


Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godfrey Mngereza amesema mwanamuziki Nandy ambaye picha zake za utupu zilivuja anahitaji kupewa moyo kwa kuwa tukio hilo limemuumiza.
nandy+pic.jpg

Akizungumza na MCL Digital leo, amesema jamii iache kumlaumu mwanamuziki huyo, kwani kilichompata kinaweza kumtokea yeyote hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.

Amesema kama Baraza wamemuita na kuongea naye kwa ajili ya kumpa moyo na kueleza hayupo katika hali nzuri kwa sasa na anahitaji kupatiwa ushauri wa kisaikolojia.


Chanzo: Mwananchi
 
Duuuh ivi inanogaga zaid mkiwa mnafanya uku mnajirekodi????

Ebu leo nitajaribu na bae nione inakuaje.
Mmasai yule asiponilamba vichwa cjui mana kibuti kitakua hakitoshi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Binafs nawapenda wasanii hawa wawili.. m a big fan..
Nimeshtushwa na clip yao ya kitandan billnass akimchezea nandy huku nandy mwenyewe anachukua video.. its a shame..

Ukiacha muziki na sanaa nandy pia ni balozi wa makampuni kadhaa hapa tanzania.

Ni msanii wa kike anaependwa kwa kaz zake nzuri hususan nyimbo anazoimba..

Kwa hii clip itamshushia hadhi yake na huenda asiaminiwe tena kuwa ambassador wa mashirika na kampuni zinazotaka kufanya nae kazi..

Wote wawili wamejishushia hadhi waliyonayo ..that clip goes viral na watu weng sasa wanazo kwenye simu zao.. wanapost tu instagram..

Seriously wasanii hawa wote ni bora kwa muzik wanaoimba they shud have done better than this..

Siamin kama ni kutafuta kiki au media attention this is totaly wrong..
 
Back
Top Bottom