Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!!

Mungu ni mwema kila wakati!!
IMG_3507.jpeg
IMG_3506.jpeg
IMG_3505.jpeg
 
hawa jamaa haajatutendea haki kabisa...hata masta jay kustaafu mapema si poa...labda kwenye gospel maana haina mambo mengi watubu tuwapokee tena...
 
Back
Top Bottom