Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

labda madawa kuna watu wanakunywa pombe hugusi! ila walivyosasa!.. halafu na age wamekula vyakutosha maisha haya ni usiige kunya kwa tembo..😂
Inategemea ni pombe gani ndugu Haya mataputapu hayajawahi kumuacha mtu salama tembelea hizo sehemu wanazonywea utawaona hao watumiaji wanavyofanana utasema watoto wa mama mmoja
 
Hayo maamuzi angefanya mapema angekuwa anaishi vzr. Sana .

Fame is not permanent
Power is not permanent


Ila GOD is GOOD aendelee kumtumikia MUNGU kwa moyo wake wote.

Pombe -sio kwa ajili ya kila MTU

MTU unapata 1M unataka uwe Unakula bia every day
 
Ulevi na utumiaji wa madawa halafu pesa ya kula ni taabu ni lazima uzeeke kabla ya siku zako.

Mungu amlinde asirudi huko, kwa maana addiction ya pombe na madawa ni mbaya sana.
Hivi huyu ndo makamua? Nawachanganya hao wawili
 
Makamua alishafariki? Labda nikagugo sura zao ndipo nitaweza kutofautisha
Hapana hajafariki.
Ndio huyu.
d2e4c49c55d189c34575dc7c48836c46_400x400.jpeg
 
Afadhali kama amejipata afanye maisha tulikua nae anatia huruma huku radar chuo wanae walishanyoosha mikono
 
Kwa hii dunia tulipofikia mtu akiamua kufanya lolote Kwa ajili ya kuokoa dunia walau hata Kwa kubwa wa nukta Moja tunatakiwa kumheshimu,kumuombea na kumpa sapoti maana labda asinge okoka au kuwa muislam safi au mwana maadili mwema kuna sehem angekuwa anaiharibu jamii
 
Back
Top Bottom