Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Mnaweza kumfunga Dr Lisu kwa mabavu tu ila sio kwa vifungu vya sheria.
Braza huwa anaongea huku anafikiri, ni maneno gani akiongea yatamfunga kisheria na maneno gani akiongea hayatamfunga kisheria.

Hapo mmekwama

Mbugila we
Amekuwa Dr lini?
 
Watanzania bhana!!! Yaani umemuona ana akili kisa tu kamkosoa makonda!??? Eti ndo umemuona ana akili! Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amenena vyema kiukweli...ipo siku watayakumbuka maneno yake......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mnayemsifu leo siku akikutwa tena na ngada ndio mtakuja hapa kusema ameonewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…