Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Utawala wenye hekima utayatafakari na kutumia vizuri ushauri wa huyu msanii
 
Marehemu Muhidini Kimario yalimkuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Makonda aende segerea kwa kosa lipi? Magufuli aende segerea kwa katiba ipi? hahahaha leo chid benz kawa kipenzi cha chadema
 
Sasa Makonda aende segerea kwa kosa lipi? Magufuli aende segerea kwa katiba ipi? hahahaha leo chid benz kawa kipenzi cha chadema
Rais wa Israel yupo ndani rais wa Brasil yipo ndani ,rais wa korea yupo ndani,rais Gabo yupo ndani

Ukiwa umshikilia mpini huwezi ona kosa..kwa sasa wao wana dola..siku itakuja watakapokuwa hawana dola..watakuwa toothless..bila ya kuwa na maamuzi

Sheria huwa zinabadirika..hata Sadam Hussen hakujuwa kama atakuja hukumiwa kifo kwa makosa yake ya nyuma maana alikuwa kakalia mpini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…