Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Katika maisha yangu nimegundua kuwa hakuna watu wenye maongezi ya busara na hekima kama walevi na hawa vijana wanaotumia madawa ya kulevya. Wengi wanaulewa mkubwa sana wa mambo ya Dunia.

Enzi za mwalimu tulikuwa na street lights mpaka kwenye mitaa ya uswahilini. Nakumbuka wanafunzi ambao nyumba zao zilikuwa hazina umeme na ziko barabarani walikuwa wanakaa chini ya nguzo za taa ili kujisomea. Dar ya sasa haina street lights labda kwa mitaa ya katikati ya mji.

Najua hili ni jukumu kubwa sana kwa uongozi wa mkoa uliopo, basi anagalao ashungulikie vitu vidogo vidogo kama kuhakikisha ukarabati barabara za katikati ya mji zilizojaa mashimo badala ya kuhangaika na kutoa matamko juu ya Tundu Lissu!
 
wenzake huwa wanavuta tu bhangi ila yeye anakula kabisa. yaani bhangi hizo unafananisha na akili za wanazuoni wakubwa waliopo ccm kama prof. muhongo, prof. ndalichako, prof. mbarawa...na wengineo wenye majina makubwa na mchango mkubwa wa kitaalamu duniani. akili kama hizo zipo chadema tu, ccm hatuna huo ujinga
 
wenzake huwa wanavuta tu bhangi ila yeye anakula kabisa. yaani bhangi hizo unafananisha na akili za wanazuoni wakubwa waliopo ccm kama prof. muhongo, prof. ndalichako, prof. mbarawa...na wengineo wenye majina makubwa na mchango mkubwa wa kitaalamu duniani.
Nyie si huwa mnasema mna wanachama zaidi ya milioni 6, wote ni Maprofesa?
 
wenzake huwa wanavuta tu bhangi ila yeye anakula kabisa. yaani bhangi hizo unafananisha na akili za wanazuoni wakubwa waliopo ccm kama prof. muhongo, prof. ndalichako, prof. mbarawa...na wengineo wenye majina makubwa na mchango mkubwa wa kitaalamu duniani. akili kama hizo zipo chadema tu, ccm hatuna huo ujinga
Mchango wa prof muhongo kwa jamii na upi ama prof Mbarawa ni upi labda tuanzie apo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala ngada lazima wateteane halafu wanaona dunia wanayo mkononi kama pipi vile. Chadema na Ngada hakuna tofauti
 
Nguvu kubwa mtu anaitumia kwenye mambo ya wasanii tu
Wakati bado jiji linachangamoto nyingi
Chidy kanifurahisha aliposema mwisho wa siku wasanii wanataka fedha tu hakuna kingine

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom